Example items (sample of 50)
| sen_str | Verb_form | Verb_features | nsubj_form | nsubj_features | treebank_link |
|---|---|---|---|---|---|
| Wizara ya mazingira ya Namibia imesema kwamba serikali ya nchi hiyo inapanga kuuza ndovu 170 kutokana na hali mbaya ya kiangazi na idadi kubwa ya ndovu katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika . | imesema | features...upos=VERBdeprel=root lemma=sema | wizara | features...upos=NOUNlemma=wizara deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Kesi hii ya kumshtaki imekosa ukweli , ushahidi na maslahi ya watu wa Marekani , amesema wakili wa Trump Michael van der Veen . | amesema | features...upos=VERBdeprel=parataxis lemma=sema | wakili | features...upos=NOUNlemma=wakili deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Umoja wa Ulaya utasaidia serikali ya Uganda katika kufadhili ujenzi wa reli kutoka Tororo hadi Gulu , yenye urefu wa kilomita 375 . | utasaidia | features...upos=VERBdeprel=root lemma=saidia | Umoja | features...upos=PROPNlemma=Umoja deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Eneo la Acholi lilikumbwa na vita vibaya vilivyoongozwa na waasi wa Lords resistance movement - LRA . | vilivyoongozwa | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_vyoongozwa | eneo | features...upos=NOUNlemma=Eneo deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Serikali ya Ethiopia Jumatatu imetangaza sitisho la mapigano katika jimbo la Tigray , miezi minane baada ya mzozo mbaya uliosababisha maafa mengi , wakati maelfu ya wakazi wakikabiliwa na baa la njaa . | wakikabiliwa | features...upos=VERBdeprel=ccomp:relcl lemma=kabiliwa | maelfu | features...upos=NOUNlemma=elfu deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Amesema waendesha mashtaka waandamizi pia wanaangalia uwezekano wa kufungua mashtaka ya uhaini na kusaidia hilo , ambayo yanaweza kuwa na adhabu ya kifungo cha hadi miaka 20 . | wanaangalia | features...upos=VERBdeprel=ccomp lemma=angalia | waendesha | features...upos=NOUNlemma=mwendesha deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Maelfu wameukimbia mji huo wenye wakazi 75,000 ambapo dazeni ya raia waliuawa , kulingana na idadi iliyotolewa na serikali hapo awali , na kampuni kubwa ya nishati ya Total imeondoka katika eneo ambapo mradi wa gasi uliogharimu mabilioni ya dola unaendelezwa . | unaendelezwa | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_endele | maelfu | features...upos=NOUNlemma=Maelfu deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Biden alipendekeza kuongeza kodi kwenye mapato ya makampuni , lakini Warepublican walipinga pendekezo hilo . | alipendekeza | features...upos=VERBdeprel=root lemma=pendekeza | Biden | features...upos=PROPNlemma=Biden deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Kutokana na kwamba Chauvin hana rekodi ya uhalifu wowote kabla ya kitendo hicho , muongozo wa sheria wa jimbo unasema , kwa makosa aliyoyafanya ya mauaji na mauaji bila ya kukusudia ni miaka 12 na nusu . | hana | features...upos=VERBdeprel=dep lemma=wa | Chauvin | features...upos=PROPNlemma=Chauvin deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Kundi hilo limesema wataalam wa kimataifa ni lazima waruhusiwe kuingia Lebanon ili kutafuta chanzo na wa kuwajibishwa kutokana na mlipuko huo na kupendekeza hatua za kuchukuliwa ili kuhakikisha hili halijirudii tena . | limesema | features...upos=VERBdeprel=root lemma=sema | kundi | features...upos=NOUNlemma=kundi deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| " Imetumia miaka 14 tangu tulipogundua kwamba tuna utajiri wa mafuta lakini kampuni za kuchimba mafuta zimekuwa zikituchelewesha kupata utajiri huo . | zikituchelewesha | features...upos=VERBdeprel=conj lemma=chelewesha | kampuni | features...upos=NOUNlemma=kampuni deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Kamati ya washauri huru na wataalam wa Idara ya Chakula na Madawa ya Marekani ( FDA ) ilipiga kura , baada ya majadiliano ya saa saba , kupendekeza utumiaji wa chanjo iliyotengenezwa na Mtengenezaji wa dawa wa Marekani Moderna , wiki moja baada ya wasimamizi wa serikali kuu kuidhinisha chanjo ya kwanza ya matumizi ya dharura . | ilipiga | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_pig | kamati | features...upos=NOUNlemma=Kamati deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Wakati huo huo , mchambuzi wa siasa wa Sudan anayeishi nchini Marekani anasema serikali ya mpito ya Sudan inapaswa kubaki bila upande wowote kuelekea maendeleo ya kisiasa katika nchi jirani ya Chad , akibainisha kuwa kifo cha ghafla cha Rais wa Chad Idriss Deby huenda kikaongeza machafuko katika eneo lote la Sahel na inaweza kuingia mpakani hadi mkoa wa Darfur wa Sudan . | anasema | features...upos=VERBdeprel=root lemma=sema | mchambuzi | features...upos=NOUNlemma=mchambuzi deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Waziri mkuu Abiy Ahmed , ameandika ujumbe wa Twitter kwamba mlango wa mwisho wa amani ambao ulikuwa wazi kwa vikosi vya TPLF kutumia sasa umefungwa kabisa baada ya vikosi hivyo kudharau watu wa Ethiopia . | umefungwa | features...upos=VERBdeprel=ccomp lemma=fungwa | mlango | features...upos=NOUNlemma=mlango deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Janga la virusi vya Corona , mabadiliko ya hali ya hewa , na usalama wa chakula yako kwenye ajenda ya Jumanne wakati mawaziri wa mambo ya nje kutoka kundi la mataifa ya G20 wanapokutana nchini Italy . | wanapokutana | features...upos=VERBdeprel=ccomp:relcl lemma=kutana | mawaziri | features...upos=NOUNlemma=waziri deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Rais wa Marekani Joe Biden Alhamisi , alitia saini muswada wa afueni kwa corona wa dola trillioni 1.9 na hivyo kufungua njia ya kutoa msaada wa fedha wa serikali kuu kwa Wamarekani na wafanyabiashara wanaotaabika kutokana na janga la Covid . | alitia | features...upos=VERBdeprel=root lemma=tia | rais | features...upos=NOUNlemma=rais deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Mahakama ya Burkina Faso Jumanne ilimfungulia mashtaka rais wa zamani Blaise Compaore akiwa hayupo , kuhusiana na mauaji ya mwaka 1987 ya rais wa wakati huo Thomas Sankara , moja ya mauaji mabaya kabisa katika historia ya baada ya uhuru wa Afrika . | akiwa | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_wa | mahakama | features...upos=NOUNlemma=Mahakama deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Naye Boukary Sawadogo , anayefundisha masomo ya filamu za Afrika katika Chuo cha City College , New York , picha ya ghasia za uvamizi wa Congress ilionekana kama ni filamu ya Hollywood - na sio hakika ambayo angetegemea jambo hilo kutokea katika jengo la kitovu cha siasa za Marekani . | ilionekana | features...upos=VERBdeprel=root lemma=onekana | picha | features...upos=NOUNlemma=picha deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Kwa upande wake Sonam Zoksang , mmiliki wa biashara ndogo huko New York kitongoji cha Hudson Valley , anasema demokrasia imeonyesha nguvu yake lakini inahitaji kulindwa . | imeonyesha | features...upos=VERBdeprel=ccomp lemma=onyesha | demokrasia | features...upos=NOUNlemma=demokrasia deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Kenya imesema kwamba haina upendeleo wowote wa kidiplomasia nchini Somaliland lakini imetaja Somaliland kuwa mshirika muhimu sana katika Pembe ya Afrika katika kupambana na ugaidi hasa wapiganaji wa kundi la Al - Shabaab . | imesema | features...upos=VERBdeprel=root lemma=sema | Kenya | features...upos=PROPNlemma=Kenya deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Ushirikiano wa pande zote utakuwa muhimu katika kumaliza mgogoro huu wa afya duniani . | utakuwa | features...upos=VERBdeprel=root lemma=wa | ushirikiano | features...upos=NOUNlemma=ushirikiano deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Misri imepanua utoaji wake wa chanjo ya virusi vya Corona Alhamisi kuwajumuisha wazee na watu wenye magonjwa sugu baada ya wiki kadhaa za kuwapa chanjo ya wafanyakazi wa afya , baraza la mawaziri limesema . | limesema | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_sem | baraza | features...upos=NOUNlemma=baraza deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Katika baadhi ya nchi kama Ufaransa , Italy , Uturuki , Latvia , Jamhuri ya Czech na Ugiriki , maafisa waliweka masharti ya kuzuia watu kutoka nyumbani kwao usiku . | waliweka | features...upos=VERBdeprel=root lemma=weka | maafisa | features...upos=NOUNlemma=afisa deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Rusesabagina , ambaye ni mkosoaji maarufu wa rais wa Rwanda Paul Kagame , anakabiliwa na mashtaka tisa , ikiwemo ugaidi . | ikiwemo | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_w | Rusesabagina | features...upos=PROPNlemma=Rusesabagina deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Mohamed Abdullahi Farmajo , Rais wa Somalia amelalamika kwa kusema : Kwa hakika nina kuambieni kuna uingiliaji kati wa kigeni katika utaratibu wa uchaguzi wa taifa wa Somalia kwa jumla . | amelalamika | features...upos=VERBdeprel=root lemma=lalamika | Mohamed | features...upos=PROPNlemma=Mohamed deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Hata hivyo polisi imesema washambuliaji walikufa papo hapo na ushahidi uliokusanywa unaonyesha mmoja kati ya hao alikuwa mwanamke . | unaonyesha | features...upos=VERBdeprel=conj lemma=onyesha | ushahidi | features...upos=NOUNlemma=ushahidi deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Taarifa zaidi zinaeleza waliowasili wamepewa hifadhi katika majengo ya shule na maeneo ya ibada ambayo yalianza kutayarishwa tangu taarifa za kutokea mlipuko wa Volkano . | zinaeleza | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_elez | taarifa | features...upos=NOUNlemma=Taarifa deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Hilo limebadilika . | limebadilika | features...upos=VERBdeprel=root lemma=badilika | hilo | features...upos=PRONlemma=hilo deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Vitendo viovu vya kulivamia Bunge la Marekani vimetoa somo makini kwa Gigi Mei , aliyehitimu masomo mwezi Mei mwaka 2020 kutoka Chuo Kikuu cha Columbia , New York . | vimetoa | features...upos=VERBdeprel=root lemma=toa | vitendo | features...upos=NOUNlemma=kitendo deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Juhudi za kumwajibisha Rais Donald Trump kutokana na kuhusika kwake na uchochezi wa kulishawishi genge lililovamia Bunge la Marekani Jumatano zimeshika kasi siku ya Jumamosi , ambapo wabunge wa chama cha Democratic katika Baraza la Wawakilishi la Marekani wakitangaza watapendekeza vifungu vya kumuondoa madarakani mapema ifikapo Jumatatu . | wakitangaza | features...upos=VERBdeprel=csubj lemma=tangaza | wabunge | features...upos=NOUNlemma=mbunge deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Kulingana na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins , maelfu ya watu wanaripotiwa kuambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani kila siku , watu 272,000 wamefariki . | wamefariki | features...upos=VERBdeprel=parataxis lemma=fariki | watu | features...upos=NOUNlemma=mtu deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Mwenyekiti Maalim Seif Sharif Hamad amekubali nafasi ya makamu wa kwanza wa Rais baada ya kuteuliwa na Rais Hussein Ali Mwinyi na kutarajiwa kuapishwa rasmi siku ya Jumanne . | amekubali | features...upos=VERBdeprel=root lemma=kubali | Mwenyekiti | features...upos=PROPNlemma=mwenyekiti deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Ujumbe muhimu wa Museveni kwa wapiga kura ni kwamba anagombea mhula wa sita madarakani ili kulinda hali ya baadaye ya raia wote wa Uganda . | anagombea | features...upos=VERBdeprel=root lemma=gombea | ujumbe | features...upos=NOUNlemma=ujumbe deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Pia amesema waatalamu wa afya wana wasiwasi kutokana na uwezekano wa idadi kuwa kubwa zaidi kuliko ilivyo hivi sasa kwa sababu ya ukosefu wa vifaa vya kupima na vizingiti vingine . | wana | features...upos=VERBdeprel=ccomp lemma=wa | waatalamu | features...upos=NOUNlemma=mtaalamu deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Waisraeli wasiopungua 10 wameuawa katika mashambulizi ya roketi , pamoja na mtoto wa miaka 6 . | wasiopungua | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_opungu | Waisraeli | features...upos=PROPNlemma=Waisraeli deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Wito huo umeelezwa wakati viongozi hao wakisaini kitabu cha maombolezo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar Es Salaam kufuatia kifo cha Magufuli kilichotokea Machi 17 katika hospitali ya Mzena mjini Dar es Salaam mahala ambako alilazwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo . | wakisaini | features...upos=VERBdeprel=ccomp:relcl lemma=saini | viongozi | features...upos=NOUNlemma=kiongozi deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Kulingana na ratiba ya tume ya uchaguzi , Amuriat alitarajiwa kufanya kampeni katika wilaya ya Lamwo na Kitgum , jumanne , polisi wamemzuilia na kumkamata kwa sababu rais Yoweri Museveni alikuwa bado anafanya kampeni sehemu hizo . | anafanya | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_fany | Amuriat | features...upos=PROPNlemma=Amuriat deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Wabunge wa republican wameupinga mswada huo wakisema umetenga pesa nyingi sana na haukulenga vya kutosha wale wanaohitaji msaada wa kiuchumi . | wameupinga | features...upos=VERBdeprel=root lemma=pinga | wabunge | features...upos=NOUNlemma=mbunge deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Nullis ameiambia Sauti ya Amerika - VOA kwamba kujiandaa kwa hali hii na kudhibiti madhara ya matukio mabaya sana ya hali ya hewa inakuwa vigumu sana kutokana na janga la COVID 19 . | inakuwa | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_kuw | Nullis | features...upos=PROPNlemma=Nullis deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Utafiti wa awali unaonyesha kwamba chanjo yake ya kwanza iliyokwisha idhinishwa na Marekani na Umoja wa Ulaya haina nguvu za kutosha kupambana na aina mpya ya virusi vilivyogunduliwa hivi sasa katika takriban nchi 40 . | unaonyesha | features...upos=VERBdeprel=root lemma=onyesha | utafiti | features...upos=NOUNlemma=utafiti deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Jengo ambalo lilikuwa likimilikiwa kwa ajili ya shule binafsi ya chekechea mjini Nairobi mpaka mwezi Julai , wakati janga la Covid-19 lilipolazimisha shule hiyo kufungwa | lilipolazimisha | features...upos=VERBdeprel=acl lemma=lazimisha | janga | features...upos=NOUNlemma=janga deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Kuandamana ni haki ya kidemokrasia kabisa , lakini uvunjifu wa amani unashtusha na haukubaliki , amesema Kim , ambaye ana umri wa miaka 30 . | unashtusha | features...upos=VERBdeprel=conj lemma=shtusha | uvunjifu | features...upos=NOUNlemma=uvunjifu deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Malengo maalum ya mradi huo ni kuboresha barabara za kitaifa , mtandao wa umeme na kupanua upatikanaji wa mtandao wa internet nchini kote . | kuboresha | features...upos=VERBdeprel=root lemma=boresha | malengo | features...upos=NOUNlemma=lengo deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Mkataba huo ulikuwa wa kutoa fursa ya kufanyika uchaguzi usio wa moja kwa moja nchini Somalia lakini kiongozi wa Jubaland sasa anataka serikali ya Somali kuondoa wanajeshi wake katika eneo la Gedo ili utawala wake uandae uchaguzi . | uandae | features...upos=VERBdeprel=acl lemma=andaa | utawala | features...upos=NOUNlemma=utawala deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Mwandishi wa habari , Raia wa China ambaye amekuwa akizuiliwa gerezani tangu mwezi wa tano kwa kuonyesha moja kwa moja kupitia mtandao wa kijamii , mlipuko wa virusi vya Corona katika mji wa Wuhan , amehukumiwa kifungo cha miaka 4 gerezani . | amehukumiwa | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_hukumu | mwandishi | features...upos=NOUNlemma=Mwandishi deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Moshe Hain , mkazi wa Jerusalem ameeleza : " Mimi ninadhani huu ni wakati muhimu kabisa kwa Israeli na siasa zake na kwa Bennett mwenyewe . | ameeleza | features...upos=VERBdeprel=root lemma=eleza | Moshe | features...upos=PROPNlemma=Moshe deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Wiki sita baada ya uchaguzi wa rais wa Marekani , kiongozi wa walio wengi katika Baraza la Seneti Mitch McConnell alikiri Jumanne kuwa Mdemokrat Joe Biden ndiye rais mteule wa nchi hiyo . | alikiri | features...upos=VERBdeprel=root lemma=kiri | kiongozi | features...upos=NOUNlemma=kiongozi deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma Alhamisi CAG Charles Kichere pamoja na mambo mengine katika ripoti hiyo amebaini matumizi mabaya ya mamilioni ya shilingi wakati Wizara ya Maliasili na Utalii ilipoendesha matamasha na shughuli za kukuza utalii wa ndani ambapo taratibu za malipo ya fedha hazikufuatwa . | amebaini | features...upos=VERBdeprel=root lemma=baini | CAG | features...upos=PROPNlemma=CAG deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Netanyahu , aliyeshikilia wadhifa huo kwa muda nchini Israel , ambaye ametawala uwanja wa kisiasa kwa miaka mingi , atabakia kuwa mkuu wa chama cha mrengo wa kulia cha Likud na kuwa kiongozi wa upinzani . | atabakia | features...upos=VERBdeprel=root lemma=-bakia | Netanyahu | features...upos=PROPNlemma=Netanyahu deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Rais mteule wa Marekani Joe Biden amezindua Alhamisi mpango wa majibu ya virusi vya Corona ambao ni pamoja na kuongeza kiwango cha chanjo na kusaidia kukabiliana na athari za kiuchumi zinazotokana na janga hilo . | amezindua | features...upos=VERBdeprel=root lemma=zindua | rais | features...upos=NOUNlemma=rais deprel=nsubj | UD_Swahili-AfriSUD |