Example items (sample of 50)

sen_strVerb_formVerb_featuresnsubj_formnsubj_featurestreebank_link
Wizara ya mazingira ya Namibia imesema kwamba serikali ya nchi hiyo inapanga kuuza ndovu 170 kutokana na hali mbaya ya kiangazi na idadi kubwa ya ndovu katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika .imesema
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=sema
wizara
features...upos=NOUN
lemma=wizara
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kesi hii ya kumshtaki imekosa ukweli , ushahidi na maslahi ya watu wa Marekani , amesema wakili wa Trump Michael van der Veen .amesema
features...upos=VERB
deprel=parataxis
lemma=sema
wakili
features...upos=NOUN
lemma=wakili
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Umoja wa Ulaya utasaidia serikali ya Uganda katika kufadhili ujenzi wa reli kutoka Tororo hadi Gulu , yenye urefu wa kilomita 375 .utasaidia
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=saidia
Umoja
features...upos=PROPN
lemma=Umoja
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Eneo la Acholi lilikumbwa na vita vibaya vilivyoongozwa na waasi wa Lords resistance movement - LRA .vilivyoongozwa
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_vyoongozwa
eneo
features...upos=NOUN
lemma=Eneo
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Serikali ya Ethiopia Jumatatu imetangaza sitisho la mapigano katika jimbo la Tigray , miezi minane baada ya mzozo mbaya uliosababisha maafa mengi , wakati maelfu ya wakazi wakikabiliwa na baa la njaa .wakikabiliwa
features...upos=VERB
deprel=ccomp:relcl
lemma=kabiliwa
maelfu
features...upos=NOUN
lemma=elfu
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Amesema waendesha mashtaka waandamizi pia wanaangalia uwezekano wa kufungua mashtaka ya uhaini na kusaidia hilo , ambayo yanaweza kuwa na adhabu ya kifungo cha hadi miaka 20 .wanaangalia
features...upos=VERB
deprel=ccomp
lemma=angalia
waendesha
features...upos=NOUN
lemma=mwendesha
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Maelfu wameukimbia mji huo wenye wakazi 75,000 ambapo dazeni ya raia waliuawa , kulingana na idadi iliyotolewa na serikali hapo awali , na kampuni kubwa ya nishati ya Total imeondoka katika eneo ambapo mradi wa gasi uliogharimu mabilioni ya dola unaendelezwa .unaendelezwa
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_endele
maelfu
features...upos=NOUN
lemma=Maelfu
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Biden alipendekeza kuongeza kodi kwenye mapato ya makampuni , lakini Warepublican walipinga pendekezo hilo .alipendekeza
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=pendekeza
Biden
features...upos=PROPN
lemma=Biden
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kutokana na kwamba Chauvin hana rekodi ya uhalifu wowote kabla ya kitendo hicho , muongozo wa sheria wa jimbo unasema , kwa makosa aliyoyafanya ya mauaji na mauaji bila ya kukusudia ni miaka 12 na nusu .hana
features...upos=VERB
deprel=dep
lemma=wa
Chauvin
features...upos=PROPN
lemma=Chauvin
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kundi hilo limesema wataalam wa kimataifa ni lazima waruhusiwe kuingia Lebanon ili kutafuta chanzo na wa kuwajibishwa kutokana na mlipuko huo na kupendekeza hatua za kuchukuliwa ili kuhakikisha hili halijirudii tena .limesema
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=sema
kundi
features...upos=NOUN
lemma=kundi
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
" Imetumia miaka 14 tangu tulipogundua kwamba tuna utajiri wa mafuta lakini kampuni za kuchimba mafuta zimekuwa zikituchelewesha kupata utajiri huo .zikituchelewesha
features...upos=VERB
deprel=conj
lemma=chelewesha
kampuni
features...upos=NOUN
lemma=kampuni
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kamati ya washauri huru na wataalam wa Idara ya Chakula na Madawa ya Marekani ( FDA ) ilipiga kura , baada ya majadiliano ya saa saba , kupendekeza utumiaji wa chanjo iliyotengenezwa na Mtengenezaji wa dawa wa Marekani Moderna , wiki moja baada ya wasimamizi wa serikali kuu kuidhinisha chanjo ya kwanza ya matumizi ya dharura .ilipiga
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_pig
kamati
features...upos=NOUN
lemma=Kamati
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Wakati huo huo , mchambuzi wa siasa wa Sudan anayeishi nchini Marekani anasema serikali ya mpito ya Sudan inapaswa kubaki bila upande wowote kuelekea maendeleo ya kisiasa katika nchi jirani ya Chad , akibainisha kuwa kifo cha ghafla cha Rais wa Chad Idriss Deby huenda kikaongeza machafuko katika eneo lote la Sahel na inaweza kuingia mpakani hadi mkoa wa Darfur wa Sudan .anasema
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=sema
mchambuzi
features...upos=NOUN
lemma=mchambuzi
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Waziri mkuu Abiy Ahmed , ameandika ujumbe wa Twitter kwamba mlango wa mwisho wa amani ambao ulikuwa wazi kwa vikosi vya TPLF kutumia sasa umefungwa kabisa baada ya vikosi hivyo kudharau watu wa Ethiopia .umefungwa
features...upos=VERB
deprel=ccomp
lemma=fungwa
mlango
features...upos=NOUN
lemma=mlango
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Janga la virusi vya Corona , mabadiliko ya hali ya hewa , na usalama wa chakula yako kwenye ajenda ya Jumanne wakati mawaziri wa mambo ya nje kutoka kundi la mataifa ya G20 wanapokutana nchini Italy .wanapokutana
features...upos=VERB
deprel=ccomp:relcl
lemma=kutana
mawaziri
features...upos=NOUN
lemma=waziri
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Rais wa Marekani Joe Biden Alhamisi , alitia saini muswada wa afueni kwa corona wa dola trillioni 1.9 na hivyo kufungua njia ya kutoa msaada wa fedha wa serikali kuu kwa Wamarekani na wafanyabiashara wanaotaabika kutokana na janga la Covid .alitia
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=tia
rais
features...upos=NOUN
lemma=rais
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Mahakama ya Burkina Faso Jumanne ilimfungulia mashtaka rais wa zamani Blaise Compaore akiwa hayupo , kuhusiana na mauaji ya mwaka 1987 ya rais wa wakati huo Thomas Sankara , moja ya mauaji mabaya kabisa katika historia ya baada ya uhuru wa Afrika .akiwa
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_wa
mahakama
features...upos=NOUN
lemma=Mahakama
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Naye Boukary Sawadogo , anayefundisha masomo ya filamu za Afrika katika Chuo cha City College , New York , picha ya ghasia za uvamizi wa Congress ilionekana kama ni filamu ya Hollywood - na sio hakika ambayo angetegemea jambo hilo kutokea katika jengo la kitovu cha siasa za Marekani .ilionekana
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=onekana
picha
features...upos=NOUN
lemma=picha
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kwa upande wake Sonam Zoksang , mmiliki wa biashara ndogo huko New York kitongoji cha Hudson Valley , anasema demokrasia imeonyesha nguvu yake lakini inahitaji kulindwa .imeonyesha
features...upos=VERB
deprel=ccomp
lemma=onyesha
demokrasia
features...upos=NOUN
lemma=demokrasia
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kenya imesema kwamba haina upendeleo wowote wa kidiplomasia nchini Somaliland lakini imetaja Somaliland kuwa mshirika muhimu sana katika Pembe ya Afrika katika kupambana na ugaidi hasa wapiganaji wa kundi la Al - Shabaab .imesema
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=sema
Kenya
features...upos=PROPN
lemma=Kenya
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Ushirikiano wa pande zote utakuwa muhimu katika kumaliza mgogoro huu wa afya duniani .utakuwa
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=wa
ushirikiano
features...upos=NOUN
lemma=ushirikiano
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Misri imepanua utoaji wake wa chanjo ya virusi vya Corona Alhamisi kuwajumuisha wazee na watu wenye magonjwa sugu baada ya wiki kadhaa za kuwapa chanjo ya wafanyakazi wa afya , baraza la mawaziri limesema .limesema
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_sem
baraza
features...upos=NOUN
lemma=baraza
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Katika baadhi ya nchi kama Ufaransa , Italy , Uturuki , Latvia , Jamhuri ya Czech na Ugiriki , maafisa waliweka masharti ya kuzuia watu kutoka nyumbani kwao usiku .waliweka
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=weka
maafisa
features...upos=NOUN
lemma=afisa
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Rusesabagina , ambaye ni mkosoaji maarufu wa rais wa Rwanda Paul Kagame , anakabiliwa na mashtaka tisa , ikiwemo ugaidi .ikiwemo
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_w
Rusesabagina
features...upos=PROPN
lemma=Rusesabagina
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Mohamed Abdullahi Farmajo , Rais wa Somalia amelalamika kwa kusema : Kwa hakika nina kuambieni kuna uingiliaji kati wa kigeni katika utaratibu wa uchaguzi wa taifa wa Somalia kwa jumla .amelalamika
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=lalamika
Mohamed
features...upos=PROPN
lemma=Mohamed
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Hata hivyo polisi imesema washambuliaji walikufa papo hapo na ushahidi uliokusanywa unaonyesha mmoja kati ya hao alikuwa mwanamke .unaonyesha
features...upos=VERB
deprel=conj
lemma=onyesha
ushahidi
features...upos=NOUN
lemma=ushahidi
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Taarifa zaidi zinaeleza waliowasili wamepewa hifadhi katika majengo ya shule na maeneo ya ibada ambayo yalianza kutayarishwa tangu taarifa za kutokea mlipuko wa Volkano .zinaeleza
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_elez
taarifa
features...upos=NOUN
lemma=Taarifa
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Hilo limebadilika .limebadilika
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=badilika
hilo
features...upos=PRON
lemma=hilo
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Vitendo viovu vya kulivamia Bunge la Marekani vimetoa somo makini kwa Gigi Mei , aliyehitimu masomo mwezi Mei mwaka 2020 kutoka Chuo Kikuu cha Columbia , New York .vimetoa
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=toa
vitendo
features...upos=NOUN
lemma=kitendo
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Juhudi za kumwajibisha Rais Donald Trump kutokana na kuhusika kwake na uchochezi wa kulishawishi genge lililovamia Bunge la Marekani Jumatano zimeshika kasi siku ya Jumamosi , ambapo wabunge wa chama cha Democratic katika Baraza la Wawakilishi la Marekani wakitangaza watapendekeza vifungu vya kumuondoa madarakani mapema ifikapo Jumatatu .wakitangaza
features...upos=VERB
deprel=csubj
lemma=tangaza
wabunge
features...upos=NOUN
lemma=mbunge
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kulingana na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins , maelfu ya watu wanaripotiwa kuambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani kila siku , watu 272,000 wamefariki .wamefariki
features...upos=VERB
deprel=parataxis
lemma=fariki
watu
features...upos=NOUN
lemma=mtu
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Mwenyekiti Maalim Seif Sharif Hamad amekubali nafasi ya makamu wa kwanza wa Rais baada ya kuteuliwa na Rais Hussein Ali Mwinyi na kutarajiwa kuapishwa rasmi siku ya Jumanne .amekubali
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=kubali
Mwenyekiti
features...upos=PROPN
lemma=mwenyekiti
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Ujumbe muhimu wa Museveni kwa wapiga kura ni kwamba anagombea mhula wa sita madarakani ili kulinda hali ya baadaye ya raia wote wa Uganda .anagombea
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=gombea
ujumbe
features...upos=NOUN
lemma=ujumbe
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Pia amesema waatalamu wa afya wana wasiwasi kutokana na uwezekano wa idadi kuwa kubwa zaidi kuliko ilivyo hivi sasa kwa sababu ya ukosefu wa vifaa vya kupima na vizingiti vingine .wana
features...upos=VERB
deprel=ccomp
lemma=wa
waatalamu
features...upos=NOUN
lemma=mtaalamu
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Waisraeli wasiopungua 10 wameuawa katika mashambulizi ya roketi , pamoja na mtoto wa miaka 6 .wasiopungua
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_opungu
Waisraeli
features...upos=PROPN
lemma=Waisraeli
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Wito huo umeelezwa wakati viongozi hao wakisaini kitabu cha maombolezo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar Es Salaam kufuatia kifo cha Magufuli kilichotokea Machi 17 katika hospitali ya Mzena mjini Dar es Salaam mahala ambako alilazwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo .wakisaini
features...upos=VERB
deprel=ccomp:relcl
lemma=saini
viongozi
features...upos=NOUN
lemma=kiongozi
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kulingana na ratiba ya tume ya uchaguzi , Amuriat alitarajiwa kufanya kampeni katika wilaya ya Lamwo na Kitgum , jumanne , polisi wamemzuilia na kumkamata kwa sababu rais Yoweri Museveni alikuwa bado anafanya kampeni sehemu hizo .anafanya
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_fany
Amuriat
features...upos=PROPN
lemma=Amuriat
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Wabunge wa republican wameupinga mswada huo wakisema umetenga pesa nyingi sana na haukulenga vya kutosha wale wanaohitaji msaada wa kiuchumi .wameupinga
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=pinga
wabunge
features...upos=NOUN
lemma=mbunge
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Nullis ameiambia Sauti ya Amerika - VOA kwamba kujiandaa kwa hali hii na kudhibiti madhara ya matukio mabaya sana ya hali ya hewa inakuwa vigumu sana kutokana na janga la COVID 19 .inakuwa
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_kuw
Nullis
features...upos=PROPN
lemma=Nullis
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Utafiti wa awali unaonyesha kwamba chanjo yake ya kwanza iliyokwisha idhinishwa na Marekani na Umoja wa Ulaya haina nguvu za kutosha kupambana na aina mpya ya virusi vilivyogunduliwa hivi sasa katika takriban nchi 40 .unaonyesha
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=onyesha
utafiti
features...upos=NOUN
lemma=utafiti
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Jengo ambalo lilikuwa likimilikiwa kwa ajili ya shule binafsi ya chekechea mjini Nairobi mpaka mwezi Julai , wakati janga la Covid-19 lilipolazimisha shule hiyo kufungwalilipolazimisha
features...upos=VERB
deprel=acl
lemma=lazimisha
janga
features...upos=NOUN
lemma=janga
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kuandamana ni haki ya kidemokrasia kabisa , lakini uvunjifu wa amani unashtusha na haukubaliki , amesema Kim , ambaye ana umri wa miaka 30 .unashtusha
features...upos=VERB
deprel=conj
lemma=shtusha
uvunjifu
features...upos=NOUN
lemma=uvunjifu
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Malengo maalum ya mradi huo ni kuboresha barabara za kitaifa , mtandao wa umeme na kupanua upatikanaji wa mtandao wa internet nchini kote .kuboresha
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=boresha
malengo
features...upos=NOUN
lemma=lengo
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Mkataba huo ulikuwa wa kutoa fursa ya kufanyika uchaguzi usio wa moja kwa moja nchini Somalia lakini kiongozi wa Jubaland sasa anataka serikali ya Somali kuondoa wanajeshi wake katika eneo la Gedo ili utawala wake uandae uchaguzi .uandae
features...upos=VERB
deprel=acl
lemma=andaa
utawala
features...upos=NOUN
lemma=utawala
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Mwandishi wa habari , Raia wa China ambaye amekuwa akizuiliwa gerezani tangu mwezi wa tano kwa kuonyesha moja kwa moja kupitia mtandao wa kijamii , mlipuko wa virusi vya Corona katika mji wa Wuhan , amehukumiwa kifungo cha miaka 4 gerezani .amehukumiwa
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_hukumu
mwandishi
features...upos=NOUN
lemma=Mwandishi
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Moshe Hain , mkazi wa Jerusalem ameeleza : " Mimi ninadhani huu ni wakati muhimu kabisa kwa Israeli na siasa zake na kwa Bennett mwenyewe .ameeleza
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=eleza
Moshe
features...upos=PROPN
lemma=Moshe
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Wiki sita baada ya uchaguzi wa rais wa Marekani , kiongozi wa walio wengi katika Baraza la Seneti Mitch McConnell alikiri Jumanne kuwa Mdemokrat Joe Biden ndiye rais mteule wa nchi hiyo .alikiri
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=kiri
kiongozi
features...upos=NOUN
lemma=kiongozi
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma Alhamisi CAG Charles Kichere pamoja na mambo mengine katika ripoti hiyo amebaini matumizi mabaya ya mamilioni ya shilingi wakati Wizara ya Maliasili na Utalii ilipoendesha matamasha na shughuli za kukuza utalii wa ndani ambapo taratibu za malipo ya fedha hazikufuatwa .amebaini
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=baini
CAG
features...upos=PROPN
lemma=CAG
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Netanyahu , aliyeshikilia wadhifa huo kwa muda nchini Israel , ambaye ametawala uwanja wa kisiasa kwa miaka mingi , atabakia kuwa mkuu wa chama cha mrengo wa kulia cha Likud na kuwa kiongozi wa upinzani .atabakia
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=-bakia
Netanyahu
features...upos=PROPN
lemma=Netanyahu
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Rais mteule wa Marekani Joe Biden amezindua Alhamisi mpango wa majibu ya virusi vya Corona ambao ni pamoja na kuongeza kiwango cha chanjo na kusaidia kukabiliana na athari za kiuchumi zinazotokana na janga hilo .amezindua
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=zindua
rais
features...upos=NOUN
lemma=rais
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD