Example items (sample of 50)

sen_strAux_formAux_featuresnsubj_formnsubj_featurestreebank_link
Lakini wachambuzi wanasema fursa hiyo inaweza kuwa vigumu kuitekeleza wakati utawala wa Trump umebakiza siku chache .inaweza
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=weza
SubjAuxCount=1
fursa
features...upos=NOUN
lemma=fursa
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Mamlaka nchini Senegal zimezuia upatikanaji wa intaneti wakati maandamano dhidi ya kuwekwa kizuizini kwa kiongozi wa upinzani kuongezeka mtandao wa usimamizi wa NetBlocks umeripoti Ijumaa .zimezuia
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_zui
SubjAuxCount=1
mamlaka
features...upos=NOUN
lemma=Mamlaka
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Sankara , mwanamapinduzi ambaye alikua anafuata siasa za Marxist aliyekuwa anaitwa mara nyingi Che Guevara wa Afrika aliuwawa wakati wa mapinduzi ya kijeshi yaliyoongozwa na rafiki yake wa zamani , Compaore .alikua
features...upos=AUX
deprel=aux
SubjAuxCount=2+
Sankara
features...upos=PROPN
lemma=Sankara
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Majenerali hao ni aliyekuwa waziri wa usalama Henry Tumukunde na aliyekuwa kamanda wa jeshi Mugisha Muntu .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
majenerali
features...upos=NOUN
lemma=jenerali
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Somaliland ilijiondoa kutoka Somalia mnamo mwaka 1991 japo uhuru wake haujatambuliwa na umoja wa mataifa , Umoja wa Afrika , AU .haujatambuliwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_atambuliwa
SubjAuxCount=1
Somaliland
features...upos=PROPN
lemma=Somaliland
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kiongozi mpya wa Mai Kadra , Fentahun Bihohegn amesema kwamba mashambulizi hayo ni ya kikabila .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
mashambulizi
features...upos=NOUN
lemma=shambulizi
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Rais Biden amewaambia wabunge kwamba yupo tayari kuweka kikomo cha mapato ya chini juu ya nani atapata hundi za dola 1400 lakini sio kupunguza ukubwa wa malipo .amewaambia
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_aambi
SubjAuxCount=2+
rais
features...upos=NOUN
lemma=Rais
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Baadhi ya wabunge waliozungumza kabla ya jina la Dr . Mpango kupigiwa kura walisifu mapendekezo hayo ya Rais Samia Suluhu Hassan na kwamba Dr . Mpango ni mtu sahihi wa kumsaidia rais katika majukumu yake .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
Dr
features...upos=PROPN
lemma=Dr
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Wamarekani wanaweza kujivunia taifa letu lina makamu rais mwanamke mteule kwa mara ya kwanza - McConell .wanaweza
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=weza
SubjAuxCount=1
Wamarekani
features...upos=PROPN
lemma=Mmarekani
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Lissu amesema mfumo wa sheria za vyombo vya habari Tanzania kwa sasa una lengo la kuwaziba mdomo wanahabari .amesema
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_sem
SubjAuxCount=1
Lissu
features...upos=PROPN
lemma=Lissu
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Biden pia amesema kuwa Marekani itasitisha uungaji mkono wa Saudi Arabia kwenye mapigano ya Yemen yaliyochukua muda mrefu akisema kuwa lazima yakomeshwe ili kufikisha kikomo mojawapo ya majanga makubwa zaidi ya kibinadamu ulimwenguni .amesema
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_sem
SubjAuxCount=2+
Biden
features...upos=PROPN
lemma=Biden
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Imetayarishwa na Patrick Nduwimana , VOA , Washington DC Shirika la hali ya hewa duniani - WMO linasema sehemu nyingi za dunia zitarajie hali ya joto kuliko kiwango cha kawaida kutoka mwezi huu wa Mei hadi Juni 2020 .imetayarishwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=Imetayarishwa
SubjAuxCount=2+
WMO
features...upos=PROPN
lemma=Wmo
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Takwimu za idara ya polisi zinaonyesha miji 15 mikubwa ya Marekani , imeripoti kuongezeka kwa asilimia 169 kwa ghasia dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Asia .zinaonyesha
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_onyesh
SubjAuxCount=1
takwimu
features...upos=NOUN
lemma=Takwimu
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Azimio hilo linawaruhusu wabunge kumvua nafasi za kamati mbunge huyo wa muhula wa kwanza akiliwakilisha jimbo la kusini mashariki mwa Georgia .linawaruhusu
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_waruhus
SubjAuxCount=1
azimio
features...upos=NOUN
lemma=Azimio
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Mory Keita , ambaye ni raia wa Guinea , amesema kwamba rais Trump anaonyesha mfano mbaya sana kwa nchi za Afrika ambazo bado ni changa kidemokrasia , huku Bachir Diallo akisema kuwa hatua ya Trump ni ya kuleta fedheha sana , kwamba hayo ni mambo ambayo yanatarajiwa kutokea katika nchi yenye utawala mbovu sana na wala sio Marekani .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
hayo
features...upos=PRON
lemma=hayo
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Jumla za kura zilizohesabiwa zilikuwa 232 dhidi ya 197 .zilikuwa
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=wa
SubjAuxCount=1
jumla
features...upos=NOUN
lemma=jumla
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kundi la wapiganaji la Boko Haram limeua watu 10 wakiwemo maafisa wanne wa usalama baada ya kushambulia vijiji vitatu kaskazini mwa Nigeria .limeua
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_ua
SubjAuxCount=1
maafisa
features...upos=NOUN
lemma=maafisa
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kenya inakuwa nchi ya pili kuingia katika mgogoro na Somalia baada ya Guinea kuhusiana na hatua ya kushirkiana na Somaliland .inakuwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=inakuwa
SubjAuxCount=1
Kenya
features...upos=PROPN
lemma=Kenya
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Milipuko miwili ilikuwa mabomu yaliyolipuka katika maeneo mawili tofauti katika mitaa ya magharibi ya mji mkuu na kusababisha vifo vya watu 6 na saba kujeruhiwa kulingana na wizara ya mambo ya ndani ya Afghanistan .ilikuwa
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=wa
SubjAuxCount=1
milipuko
features...upos=NOUN
lemma=mlipuko
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Tangazo la kuuzwa kwa ndovu hao limetolewa na shirika la habari la serikali la New Era ambalo limeripoti kuongezeka kwa visa vya ndovu kushambulia binadamu na ndovu hao kuwa katika hatari ya kutoweka kutokana na uwindaji haramu pamoja na sababu za kimazingira .kuwa
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=wa
SubjAuxCount=1
ndovu
features...upos=NOUN
lemma=ndovu
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Na kufanya mambo kuwa mabaya zaidi , kesi za uhalifu huu zimekuwa zikiongezeka .zimekuwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=wa
SubjAuxCount=1
kesi
features...upos=NOUN
lemma=kesi
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Wakati huohuo kumeripotiwa kesi mpya za maambukizi 2,000 kwa siku wiki iliyopita .kumeripotiwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_ripotiw
SubjAuxCount=1
wakati
features...upos=NOUN
lemma=Wakati
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kimsingi , kampuni za mawasiliano zilikuwa zinakusanya kiwango kikubwa cha mapato kila mwaka kutokana na gharama za simu za kimataifa .zilikuwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=wa
SubjAuxCount=1
kampuni
features...upos=NOUN
lemma=kampuni
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Museveni amekuwa akishindwa Kitgum kwa miaka mingi Chama tawala cha NRM kimekuwa kikishindwa katika uchaguzi mkuu wilayani Kitgum .amekuwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_kuw
SubjAuxCount=2+
Museveni
features...upos=PROPN
lemma=Museveni
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Hii ni kuhusu siasa . "ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
hii
features...upos=PRON
lemma=hii
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Magufuli amesema hayo Jumamosi , Julai 11 , 2020 katika hotuba yake ya kukubali uteuzi baada ya kuchaguliwa kwa kishindo .amesema
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_sem
SubjAuxCount=1
Magufuli
features...upos=PROPN
lemma=Magufuli
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Marais wastaafu wa Tanzania ni miongoni mwa viongozi mbali mbali wanaotoa wito kwa Watanzania kushikamana kudumisha umoja ili kusonga mbele kukuza maendeleo ya taifa hilo baada ya kifo cha Magufuli .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
marais
features...upos=NOUN
lemma=rais
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Ujumbe muhimu wa Museveni kwa wapiga kura ni kwamba anagombea mhula wa sita madarakani ili kulinda hali ya baadaye ya raia wote wa Uganda .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
ujumbe
features...upos=NOUN
lemma=ujumbe
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kati ya wale waliouawa ni wanajeshi 55 .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
kati
features...upos=NOUN
lemma=kati
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kura ya wajumbe ni ya uthibitisho wa utaratibu wa kawaida kwenye kalenda ya uchaguzi wa urais wa Marekani .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
kura
features...upos=NOUN
lemma=kura
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Zitto Kabwe ni miongoni mwa viongozi wa upinzani waliozungumzia wasiwasi wa kuwepo au kuongezeka kwa maambukizi ya corona Tanzania .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
Zitto
features...upos=PROPN
lemma=Zitto
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Na hali hii inaweza kuwapatia nguvu wapiganaji wa Al Shabab , kuendelea na mashambulizi yao ya kuvuruga usalama wa taifa hilo .inaweza
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=weza
SubjAuxCount=1
hali
features...upos=NOUN
lemma=hali
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Hatua hiyo ya kuidhinisha Biden kuwa na kura 306 dhidi ya 232 za Trump ndiyo hatua ya mwisho kuelekea sherehe za kuapishwa kwa Biden kama rais wa 46 hapo Januari 20 .ndiyo
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
hatua
features...upos=NOUN
lemma=hatua
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Chama cha upinzani Forum for democratic change - FDC , kimekuwa kikishinda viti vingi katika uchaguzi eneo la Acholi .kimekuwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_kuwa
SubjAuxCount=1
chama
features...upos=NOUN
lemma=Chama
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Matamshi yake Rais huyo yanajiri wakati uhusiano kati ya Kenya na Somalia umekuwa mbaya kiasi cha Somalia kuwafukuza wanadiplomasia wa Kenya mjini Mogadishu baada ya ziara ya Rais wa Somaliland mjini Nairobi .yanajiri
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_ajir
SubjAuxCount=1
matamshi
features...upos=NOUN
lemma=Matamshi
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Liberatus Sabas amesema kwamba licha ya matukio hayo ya mashambulizi kudhibitiwa kwa kiwango kikubwa jamii ya watanzania inatakiwa kufuatialia kwa karibu sana mienendo ya vijana katika jamii ili kukomesha hali ya vijana kujiunga na makundi ya uhalifu .amesema
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_sem
SubjAuxCount=1
Liberatus
features...upos=PROPN
lemma=Liberatus
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Mawaziri walikuwa wanakutana kujadili pia suala la hali ya kisiasa nchini Belarus .walikuwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=wa
SubjAuxCount=1
mawaziri
features...upos=NOUN
lemma=waziri
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Serikali ya Uingereza iliidhinisha matumizi ya chanjo hiyo jumatano wiki hii baada ya idara ya kusimamia dawa na vifaa vya matibabu kutangaza kwamba chanjo hiyo ni salama kabisa kwa matumizi .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
chanjo
features...upos=NOUN
lemma=chanjo
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kura zinaendelea kuhesabiwa katika uchaguzi wa Marekani , Joe Biden akiwa anaongoza kwa idadi ya kura , lakini hakuna mshindi amepatikana hadi sasa .akiwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=wa
SubjAuxCount=1
Joe
features...upos=PROPN
lemma=Joe
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Msemaji wa WMO , Claire Nullis anasema miaka yote hiyo hadi mwaka 2016 imekuwa na hali ya joto bila ya El-Nino , ikiwemo mwaka 2019 , ambao ulikuwa mwaka wa pili wenye hali ya joto sana katika rekodi .anasema
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=anasema
SubjAuxCount=2+
mwaka
features...upos=NOUN
lemma=mwaka
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Boss Mustapha aliwaambia Wanigeria ambao wana hamu ya kupatiwa chanjo kwamba chanjo hiyo ni salama na lengo ni kuwalinda raia dhidi ya janga la Covid .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
chanjo
features...upos=NOUN
lemma=chanjo
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Inaeleza kwamba madai hayo ambayo ni pamoja na gharama za dola milioni 300 za ziada za kuiokoa meli na milioni 300 kwa ajili ya kupoteza sifa zake ni nyingi sana na kwa sehemu kubwa hazina msingi .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
madai
features...upos=NOUN
lemma=dai
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Mory Keita , ambaye ni raia wa Guinea , amesema kwamba rais Trump anaonyesha mfano mbaya sana kwa nchi za Afrika ambazo bado ni changa kidemokrasia , huku Bachir Diallo akisema kuwa hatua ya Trump ni ya kuleta fedheha sana , kwamba hayo ni mambo ambayo yanatarajiwa kutokea katika nchi yenye utawala mbovu sana na wala sio Marekani .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=2+
Bachir
features...upos=PROPN
lemma=Bachir
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Nitalihutubia taifa hii leo juu ya maazimio na hatua zilizopitishwa na tume ya kitaifa ya kukabiliana na COVID-19 , alisema Museveni .nitalihutubia
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_hutub
SubjAuxCount=2+
Museveni
features...upos=PROPN
lemma=Museveni
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
The Times ilisema kwamba ripoti hiyo ndio ilikuwa sababu ya kutayarisha ukarabati wa mamilioni ya dola ambao ulipangwa kuanza hivi karibuni .ndio
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=ni
SubjAuxCount=1
ripoti
features...upos=NOUN
lemma=ripoti
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Moja kati ya changamoto kubwa inayotia wasiwasi katika nchi nyingi za Afrika ni upungufu wa vyombo vya kupima watu kwa ajili ya Covid-19 .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
moja
features...upos=NOUN
lemma=moja
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Malengo maalum ya mradi huo ni kuboresha barabara za kitaifa , mtandao wa umeme na kupanua upatikanaji wa mtandao wa internet nchini kote .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
malengo
features...upos=NOUN
lemma=lengo
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Waziri wa unyunyuziaji wa Ethiopia Seleshi Bekele alikuwa ameeleza matumaini ya kupatikana mafanikio kwenye mazungumzo hayo na alikuwa ameandika ujumbe wa Twitter awali , akisema Ethiopia ingependa kusaini mkataba wa kujaza bwawa hilo haraka iwezekanavyo na kuendelea na mazungumzo ili kukamilisha mkataba mpana .alikuwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_uw
SubjAuxCount=2+
waziri
features...upos=NOUN
lemma=Waziri
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Kundi hilo limedai kuhusika na shambulizi lililoua watu 11 na kuteka nyara watu mkesha wa krisimasi .limedai
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_dai
SubjAuxCount=1
kundi
features...upos=NOUN
lemma=Kundi
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD
Magufuli amewaahidi wapiga kura kwamba miradi yake ya miundombinu itachochea ukuaji wa uchumi kwa asilimia 8 .amewaahidi
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_aahid
SubjAuxCount=1
Magufuli
features...upos=PROPN
lemma=Magufuli
deprel=nsubj
UD_Swahili-AfriSUD