Example items (sample of 50)
| sen_str | Verb_form | Verb_features | obj_form | obj_features | treebank_link |
|---|---|---|---|---|---|
| Waziri mkuu Abiy Ahmed , ameandika ujumbe wa Twitter kwamba mlango wa mwisho wa amani ambao ulikuwa wazi kwa vikosi vya TPLF kutumia sasa umefungwa kabisa baada ya vikosi hivyo kudharau watu wa Ethiopia . | kudharau | features...upos=VERBdeprel=ccomp lemma=dharau | watu | features...upos=NOUNlemma=mtu deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| The Times ilisema kwamba ripoti hiyo ndio ilikuwa sababu ya kutayarisha ukarabati wa mamilioni ya dola ambao ulipangwa kuanza hivi karibuni . | ilikuwa | features...upos=VERBdeprel=ccomp lemma=wa | sababu | features...upos=NOUNlemma=sababu deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Ikiwa wanataka basi kufanya uchaguzi mwingine wacha tupige kura kwa mara nyingine , lakini bila ya mashine zilizokuwa zinahesabu kura za uwongo na kufanya mambo yasiyo sawa . | zinahesabu | features...upos=VERBdeprel=acl:relcl lemma=hesabu | kura | features...upos=NOUNlemma=kura deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Mwaka 1952 , serikali ya kikoloni ikatangaza hali ya hatari na kuwakamata viongozi wengi wa kupigania uhuru nchini Kenya , akiwemo Jomo Kenyatta , babake rais wa sasa Uhuru Kenyatta , aliyekuwa rais wa chama cha Kenya African Union ( KAA ) , ambacho baadaye kilibadilishwa jina na kuwa Kenya African National Union ( KANU ) . | akiwemo | features...upos=VERBdeprel=acl lemma=wa | Jomo | features...upos=PROPNlemma=Jomo deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Naishawishi kila jamii ya wahamiaji kujitokeza kutekeleza haki zao , kuanzia kukamilisha takwimu za sensa hadi kupiga kura iwapo wanastahili kufanya hivyo , Semedar amesema . | kufanya | features...upos=VERBdeprel=ccomp lemma=fanya | hivyo | features...upos=PRONlemma=hivyo deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Kwa mujibu wa makubaliano ya ushirika , Bennet ambaye anaongoza chama cha Yamina , atashikilia madaraka mpaka September 2023 , wakati atakapokabidhi kwa Yair Lapid kiongozi wa Yesh Atid , kwa miaka mingine miwili . | atashikilia | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_shik | madaraka | features...upos=NOUNlemma=madaraka deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Awali , viongozi walisema moto huo uliathiri bomba la gesi ghafi kwenye kiwanda hicho cha kusafisha mafuta . | kusafisha | features...upos=VERBdeprel=acl lemma=safisha | mafuta | features...upos=NOUNlemma=mafuta deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Shirika la Marekani linaloshughulikia Maendeleo ya Kimataifa limepeleka timu ya kusaidia maafa kusaidia kuratibu na kusambaza misaada , tamko hilo limesema . | linaloshughulikia | features...upos=VERBdeprel=acl:relcl lemma=shughulikia | maendeleo | features...upos=NOUNlemma=maendeleo deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Meli ya Ever Given inayomilikiwa na Shoei Kisen imekuwa katika maeneo mawili ya maji yanayogawanyisha mfereji wa Suez toka ilipotolewa Machi 29 , huku mamlaka ya mfereji wa Suez ( SGA ) ikifanya uchunguzi . | yanayogawanyisha | features...upos=VERBdeprel=acl:relcl lemma=gawanyisha | mfereji | features...upos=NOUNlemma=mfereji deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Washona walianza kuwasili Kenya katika miaka ya 1930 , kutoka Zimbabwe , na wengi zaidi walikuja mwanzoni mwa miaka ya 1960 wakiwa wamishonari . | wakiwa | features...upos=VERBdeprel=advcl lemma=wa | wamishonari | features...upos=NOUNlemma=mmishonari deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Kabila aliondoka madarakani Januari mwaka 2019 baada ya kutawala Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kwa muda wa miaka 18 lakini watu waliokaribu naye bado wanadhibiti bunge . | waliokaribu | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_karibu | naye | features...upos=PRONlemma=naye deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Hivi karibuni , rais Yoweri Museveni alizindua ujenzi wa reli kutoka mji wa Tororo , mpakani mwa Kenya na Uganda hadi Gulu , kaskazini mwa Uganda . | alizindua | features...upos=VERBdeprel=root lemma=zindua | ujenzi | features...upos=NOUNlemma=ujenzi deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Muungano huo wa upinzani wenye pia marais wawili wa zamani unatoa wito wa kuundwa baraza la mpito la utawala wa kitaifa litakalokuwa na spika wa bunge , viongozi wa upinzani na majimbo pamoja na wawakilishi wa mashirika ya kiraia ili kuongoza taifa hadi kufanyike uchaguzi . | unatoa | features...upos=VERBdeprel=root lemma=toa | wito | features...upos=NOUNlemma=wito deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Miezi michache iliyopita haikuwa kawaida kuona watu wakiwa wamevaa barakoa nchini Tanzania lakini katika siku chache zilizopita baadhi ya watu wamerejea kuvaa barakoa , kuosha mikono na kuepuka misongomano . | wamevaa | features...upos=VERBdeprel=ccomp lemma=vaa | barakoa | features...upos=NOUNlemma=barakoa deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Min Min Soe , wakili wa Suu Kyi , aliwaambia waandishi wa Habari kwamba mteja wake alishtakiwa kwa mara ya pili kwa kukiuka kanuni za nchi hiyo za COVID-19 , wakati akionekana mahakamani kupitia njia ya video . | kukiuka | features...upos=VERBdeprel=dep lemma=kiuka | kanuni | features...upos=NOUNlemma=kanuni deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Lakini Wanademokrat wanaodhibiti Bunge kwa wingi mdogo wana hakika watathibitisha ushindi wa Biden , wakati katika baraza la seneti walipo wachache pamoja na Warepublican walio wengi ambao baadhi yao wamekiri ushindi wa Biden , wana uwezekano wa kufanya vivyo hivyo kwenye baraza hilo . | wanaodhibiti | features...upos=VERBdeprel=acl:relcl lemma=dhibiti | bunge | features...upos=NOUNlemma=bunge deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Katika kuzunguka Kaaba wako katika makundi ya watu 50 , kila mmoja akikaa mbali na mwenzie na wakiwa wameambatana na wataalam wa afya ambao wanaangalia mwenendo wao iwapo unafuata utaratibu wa afya uliowekwa . | wanaangalia | features...upos=VERBdeprel=ccomp lemma=angalia | mwenendo | features...upos=NOUNlemma=mwenendo deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Maandamano kutoka kwa wafanyakazi wa serikali wakiwemo wale wanaofanya kwenye treni yamekuwa yakiendelea nchini humo kwa muda wa wiki kadhaa sasa . | kutoka | features...upos=VERBdeprel=acl lemma=toka | wafanyakazi | features...upos=NOUNlemma=mfanyakazi deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Kundi la kikabila lenye silaha linalopinga utawala katika mji wa kaskazini magharibi unaochimba madini ya jade Jumamosi walishambulia kituo cha kijeshi huku matukio mengine yakiripotiwa katika sehemu nyingine za Myanmar , vyombo vya habari vilisema . | unaochimba | features...upos=VERBdeprel=acl:relcl lemma=chimba | madini | features...upos=NOUNlemma=madini deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Serikali ya Uingereza imesema kwamba inapanga kuanza kutoa chanjo ya Pfizer - BioNTech kwa watu nchini humo kuanzia Jumatatu wiki ijayo . | kuanzia | features...upos=VERBdeprel=acl lemma=anzia | jumatatu | features...upos=NOUNlemma=Jumatatu deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Wataalamu wanasema jeshi la Afghanistan , ambalo linatarajiwa kuwa na nguvu zaidi kuliko wapiganaji wa Taliban ambao wameongeza mashambulizi yao mnamo miezi ya hivi karibuni , limegubikwa na ulaji rushwa , ukosefu wa nidhamu na kushindwa kuchukua udhibiti wa taifa zima . | wameongeza | features...upos=VERBdeprel=ccomp lemma=ongeza | mashambulizi | features...upos=NOUNlemma=shambulizi deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Dkt Medad Kalemani , Mbunge wa jimbo la Chato kupitia Chama Cha Mapinduzi , CCM , ambaye pia ni Waziri wa Nishati na watu wengine waliofika wilayani Chato na wenyeji wa wilaya hiyo wamezungumzia walivyoguswa na kifo cha rais huyo wa awamu ya tano . | kupitia | features...upos=VERBdeprel=acl lemma=pitia | Chama | features...upos=PROPNlemma=Chama deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Wakati huo huo Gavana wa jimbo la Pennsylvania hapa Tom Wolf alisema Jumanne kuwa Joe Biden amethibitishwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais katika jimbo hilo . | kuwa | features...upos=VERBdeprel=dep:comp lemma=wa | mshindi | features...upos=NOUNlemma=mshindi deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Kwa wiki kadhaa sasa tangu zoezi hilo kumalizika , Trump amekuwa akidai kuwa uchaguzi uliibwa , bila kuwa na ushahidi wowote , na iwapo Biden ataidhinishwa , basi Trump atakuwa rais wa tano katika historia ya Marekani ya miaka 245 kushindwa kuingia uongozini kwa muhula wa pili . | atakuwa | features...upos=VERBdeprel=conj lemma=wa | rais | features...upos=NOUNlemma=rais deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Naishawishi kila jamii ya wahamiaji kujitokeza kutekeleza haki zao , kuanzia kukamilisha takwimu za sensa hadi kupiga kura iwapo wanastahili kufanya hivyo , Semedar amesema . | kukamilisha | features...upos=VERBdeprel=dep:comp lemma=kamilisha | takwimu | features...upos=NOUNlemma=takwimu deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Chama hicho kiliundwa masaa machache baada ya Tshisekedi kutangaza kuvunja makubaliano kati yake na Kabila wiki iliyopita , akitaja tofauti ya kimaono namna ya kuendesha serikali . | akitaja | features...upos=VERBdeprel=acl lemma=taja | tofauti | features...upos=NOUNlemma=tofauti deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Aliyekuwa kiongozi wa chama cha Forum for Democratic change , ambaye sasa ni kiongozi wa chama cha Alliance for National Transformation Major Gen . Mugisha Muntu , amezindua kampeni yake jijini Kampala , akisisitiza kwamba jiji hilo lina changamoto nyingi ikiwemo mfumo mbovu wa usafiri licha ya kuwa kitovu cha uchumi wa Uganda . | ikiwemo | features...upos=VERBdeprel=acl lemma=wa | mfumo | features...upos=NOUNlemma=mfumo deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Hii ni mara ya pili kwa Sharif Hamad kuchukua wadhifa huo ambapo mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2010 hadi 2015 , wakati kulikuwa pia na utata mkubwa kwenye uchaguzi uliosababisha vifo na mamia ya watu kukimbia kutoka visiwani humo . | kuchukua | features...upos=VERBdeprel=acl lemma=chukua | wadhifa | features...upos=NOUNlemma=wadhifa deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Kenya imeonekana kughadhabishwa na jumuiya ya kimataifa hasa kwa kutounga mkono juhudi zake za kuliorodhesha kundi la Al - Shabab kuwa haramu na Umoja wa Mataifa , kwa madai kuwa kufanya hivyo ni kudidimiza harakati za kuwafikia waathirika wa machafuko nchini Somalia . | kuwafikia | features...upos=VERBdeprel=acl lemma=fikia | waathirika | features...upos=NOUNlemma=mwathirika deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Rais wa zamani wa Mali Amadou Toumani Toure ambaye alipongezwa sana kwa kufanya mageuzi ya kidemokrasia nchini mwake kabla ya kuondolewa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi mwaka wa 2012 , amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72 . | amefariki | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_farik | dunia | features...upos=NOUNlemma=dunia deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Lakini pale palipopatikana shinikizo , ilifikia hali ya kugeuka kuwa ni uvamizi wa Bunge la Marekani . | palipopatikana | features...upos=VERBdeprel=acl:relcl lemma=patikana | shinikizo | features...upos=NOUNlemma=shinikizo deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Mpango wa Biden unajumuisha mzunguko mpya wa malipo ya moja kwa moja kwa kaya za Marekani , fedha za kuhamasisha shule kufunguliwa kwa usalama na kuongeza programu ya chanjo kitaifa . | kuongeza | features...upos=VERBdeprel=conj lemma=ongeza | programu | features...upos=NOUNlemma=programu deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Pamoja na kura 55 za wajumbe kutoka California , kati ya za mwisho kupigwa Jumatatu , Biden ana kura 302 za uchaguzi , zaidi ya kiwango kinachohitajika kushinda urais . | kushinda | features...upos=VERBdeprel=ccomp lemma=shinda | urais | features...upos=NOUNlemma=urais deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Janga la virusi vya Corona limeathiri kabisa sekta ya usafiri kimataifa , mashirika ya ndege ya Afrika yakitarajiwa kupata hasara ya dola bilioni 6 mwaka huu . | yakitarajiwa | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_taraji | sekta | features...upos=NOUNlemma=sekta deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Gavana wa jimbo la Kivu Kaskazini Jenerali Constant Ndima amesema wakati hayo yakijiri mjini Goma , matope ya moto ambayo yamekuwa yakiteremka katika mlima Nyiragongo na kuishia nje kidogo ya mji wa Goma . | yakijiri | features...upos=VERBdeprel=aux lemma=yakijiri | mjini | features...upos=NOUNlemma=mjini deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Wakati huohuo , maafisa wa Lebanon wanasema wanatarajia idadi ya vifo kuongezeka wakati wanaendelea kufukua vifusi . | kufukua | features...upos=VERBdeprel=ccomp lemma=fukua | vifusi | features...upos=NOUNlemma=kifusi deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Lakini wakati Kenya ilipopata uhuru wake kutoka kwa Uingereza mwaka 1963 , wengi walishindwa kutumia fursa ya muda wa miaka miwili kuwa raia , pamoja na watoto wao waliozaliwa nchini humo . | kutumia | features...upos=VERBdeprel=dep:comp lemma=tumia | fursa | features...upos=NOUNlemma=fursa deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Sheria hiyo mpya inatoa dola elfu 1 na 400 kwa watu wazima wenye pato la chini ya dola elfu 80 kwa mwaka , imepunguzia mzigo wa kodi pia familia zenye pato la chini kwa kutoa dola elfu 3 kwa mtoto aliye na umri wa miaka 6 hadi 17 , na dola elfu 3 na 600 kwa watoto walio chini ya miaka 6 katika mwaka wa kodi wa 2021 . | inatoa | features...upos=VERBdeprel=root lemma=toa | dola | features...upos=NOUNlemma=dola deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Toure aliongoza mapinduzi ya kijeshi mwaka wa 1991 dhidi ya kiongozi wa kijeshi Moussa Traore baada ya maandamano dhidi ya serekali yaliogubikwa na ghasia . | aliongoza | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_ongoz | mapinduzi | features...upos=NOUNlemma=mapinduzi deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Eneo la Acholi lilikumbwa na vita vibaya vilivyoongozwa na waasi wa Lords resistance movement - LRA . | vilivyoongozwa | features...upos=VERBdeprel=root lemma=_vyoongozwa | waasi | features...upos=NOUNlemma=waasi deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Kwa sasa , inagharimu dola 3600 kusafirisha kasha la futi 40 kutoka bandari ya Mombasa , Kenya hadi Kampala kwa kutumia barabara . | kusafirisha | features...upos=VERBdeprel=advcl lemma=safirisha | kasha | features...upos=NOUNlemma=kasha deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Miaka mitatu iliyopita , Ofisi ya Kitaifa ya Takwimu iliripoti kwamba mmoja kati ya wanawake na wasichana watatu wa Malawi kati ya miaka 15 hadi 49 anapata unyanyasaji wa kingono au kimwili . | anapata | features...upos=VERBdeprel=ccomp lemma=pata | unyanyasaji | features...upos=NOUNlemma=unyanyasaji deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania , Dr . Philip Isdory Mpango amethibitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Makamu wa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya jina lake kuwasilishwa bungeni kwa mapendekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan . | aliyekuwa | features...upos=VERBdeprel=csubj:agent lemma=wa | waziri | features...upos=NOUNlemma=waziri deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Serikali ya Tanzania inashughulikia mpango utakao iwezesha kutoza ushuru matumizi ya simu za WhatsApp ikiwa ni juhudi ya kukusanya kodi inayopoteza kutokana na kushuka kwa mapato yanayotokana na upigaji simu za kimataifa . | inashughulikia | features...upos=VERBdeprel=root lemma=shughulikia | mpango | features...upos=NOUNlemma=mpango deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed , amekataa kile alichosema kama jamii ya kimataifa kuingilia kati mgogoro wa Tigray ambapo muda wa saa 72 aliotoa kwa vikosi vya Tigray kujisalimisha ulimalizika Jumanne usiku . | kuingilia | features...upos=VERBdeprel=ccomp lemma=ingilia | mgogoro | features...upos=NOUNlemma=mgogoro deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Watu waliokuwa katika kundi lililovamia Bunge walisema walikuwa na haki ya kuandamana kupinga matokeo ya uchaguzi wa Marekani . | lililovamia | features...upos=VERBdeprel=acl:relcl lemma=vamia | bunge | features...upos=NOUNlemma=bunge deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Mwakilishi , Mdemokrat kutoka jimbo la California , aliyesaidia kuandaa rasimu ya mashtaka dhidi ya Trump , alituma ujumbe wa Twitter Jumamosi mchana kuwa vifungu vya kumfungulia mashtaka Trump vimeungwa mkono na wawakilishi 180 , japokuwa hakuna Mrepublikan aliyeshiriki . | kuandaa | features...upos=VERBdeprel=ccomp lemma=andaa | rasimu | features...upos=NOUNlemma=rasimu deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Moto mkubwa kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta karibu na mji mkuu wa Iran , Tehran ulikuwa unawaka kwa siku ya pili Alhamisi , wakati vikosi vya zimamoto vikiendelea kujitahidi kuuzima moto huo . | kusafisha | features...upos=VERBdeprel=acl lemma=safisha | mafuta | features...upos=NOUNlemma=mafuta deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Wahamiaji , hususan wale waliopata uraia , wana majukumu , amesema Meron Semedar , ambaye ana umri wa miaka 34 kutoka Eritrea na sasa ni mshauri wa wanazuoni wa Afrika katika Chuo Kikuu cha California - Berkeley . | waliopata | features...upos=VERBdeprel=acl:relcl lemma=pata | uraia | features...upos=NOUNlemma=uraia deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Wabunge wote wanaompinga Netanyahu wamekuwa katika majadiliano magumu kabla ya Jumatano siku ya mwisho kwa Lapid , mwenye umri wa miaka 57 anayekiongoza chama cha mrengo wa kati , Yesh Atid , kutangaza serikali yake wakati makubaliano ya kusitisha mapigano na Hamas yakiheshimiwa . | kusitisha | features...upos=VERBdeprel=acl lemma=sitisha | mapigano | features...upos=NOUNlemma=pigano deprel=obj | UD_Swahili-AfriSUD |