Example items (sample of 50)

sen_strVerb_formVerb_featuresobj_formobj_featurestreebank_link
Waziri mkuu Abiy Ahmed , ameandika ujumbe wa Twitter kwamba mlango wa mwisho wa amani ambao ulikuwa wazi kwa vikosi vya TPLF kutumia sasa umefungwa kabisa baada ya vikosi hivyo kudharau watu wa Ethiopia .kudharau
features...upos=VERB
deprel=ccomp
lemma=dharau
watu
features...upos=NOUN
lemma=mtu
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
The Times ilisema kwamba ripoti hiyo ndio ilikuwa sababu ya kutayarisha ukarabati wa mamilioni ya dola ambao ulipangwa kuanza hivi karibuni .ilikuwa
features...upos=VERB
deprel=ccomp
lemma=wa
sababu
features...upos=NOUN
lemma=sababu
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Ikiwa wanataka basi kufanya uchaguzi mwingine wacha tupige kura kwa mara nyingine , lakini bila ya mashine zilizokuwa zinahesabu kura za uwongo na kufanya mambo yasiyo sawa .zinahesabu
features...upos=VERB
deprel=acl:relcl
lemma=hesabu
kura
features...upos=NOUN
lemma=kura
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Mwaka 1952 , serikali ya kikoloni ikatangaza hali ya hatari na kuwakamata viongozi wengi wa kupigania uhuru nchini Kenya , akiwemo Jomo Kenyatta , babake rais wa sasa Uhuru Kenyatta , aliyekuwa rais wa chama cha Kenya African Union ( KAA ) , ambacho baadaye kilibadilishwa jina na kuwa Kenya African National Union ( KANU ) .akiwemo
features...upos=VERB
deprel=acl
lemma=wa
Jomo
features...upos=PROPN
lemma=Jomo
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Naishawishi kila jamii ya wahamiaji kujitokeza kutekeleza haki zao , kuanzia kukamilisha takwimu za sensa hadi kupiga kura iwapo wanastahili kufanya hivyo , Semedar amesema .kufanya
features...upos=VERB
deprel=ccomp
lemma=fanya
hivyo
features...upos=PRON
lemma=hivyo
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Kwa mujibu wa makubaliano ya ushirika , Bennet ambaye anaongoza chama cha Yamina , atashikilia madaraka mpaka September 2023 , wakati atakapokabidhi kwa Yair Lapid kiongozi wa Yesh Atid , kwa miaka mingine miwili .atashikilia
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_shik
madaraka
features...upos=NOUN
lemma=madaraka
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Awali , viongozi walisema moto huo uliathiri bomba la gesi ghafi kwenye kiwanda hicho cha kusafisha mafuta .kusafisha
features...upos=VERB
deprel=acl
lemma=safisha
mafuta
features...upos=NOUN
lemma=mafuta
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Shirika la Marekani linaloshughulikia Maendeleo ya Kimataifa limepeleka timu ya kusaidia maafa kusaidia kuratibu na kusambaza misaada , tamko hilo limesema .linaloshughulikia
features...upos=VERB
deprel=acl:relcl
lemma=shughulikia
maendeleo
features...upos=NOUN
lemma=maendeleo
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Meli ya Ever Given inayomilikiwa na Shoei Kisen imekuwa katika maeneo mawili ya maji yanayogawanyisha mfereji wa Suez toka ilipotolewa Machi 29 , huku mamlaka ya mfereji wa Suez ( SGA ) ikifanya uchunguzi .yanayogawanyisha
features...upos=VERB
deprel=acl:relcl
lemma=gawanyisha
mfereji
features...upos=NOUN
lemma=mfereji
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Washona walianza kuwasili Kenya katika miaka ya 1930 , kutoka Zimbabwe , na wengi zaidi walikuja mwanzoni mwa miaka ya 1960 wakiwa wamishonari .wakiwa
features...upos=VERB
deprel=advcl
lemma=wa
wamishonari
features...upos=NOUN
lemma=mmishonari
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Kabila aliondoka madarakani Januari mwaka 2019 baada ya kutawala Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kwa muda wa miaka 18 lakini watu waliokaribu naye bado wanadhibiti bunge .waliokaribu
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_karibu
naye
features...upos=PRON
lemma=naye
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Hivi karibuni , rais Yoweri Museveni alizindua ujenzi wa reli kutoka mji wa Tororo , mpakani mwa Kenya na Uganda hadi Gulu , kaskazini mwa Uganda .alizindua
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=zindua
ujenzi
features...upos=NOUN
lemma=ujenzi
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Muungano huo wa upinzani wenye pia marais wawili wa zamani unatoa wito wa kuundwa baraza la mpito la utawala wa kitaifa litakalokuwa na spika wa bunge , viongozi wa upinzani na majimbo pamoja na wawakilishi wa mashirika ya kiraia ili kuongoza taifa hadi kufanyike uchaguzi .unatoa
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=toa
wito
features...upos=NOUN
lemma=wito
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Miezi michache iliyopita haikuwa kawaida kuona watu wakiwa wamevaa barakoa nchini Tanzania lakini katika siku chache zilizopita baadhi ya watu wamerejea kuvaa barakoa , kuosha mikono na kuepuka misongomano .wamevaa
features...upos=VERB
deprel=ccomp
lemma=vaa
barakoa
features...upos=NOUN
lemma=barakoa
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Min Min Soe , wakili wa Suu Kyi , aliwaambia waandishi wa Habari kwamba mteja wake alishtakiwa kwa mara ya pili kwa kukiuka kanuni za nchi hiyo za COVID-19 , wakati akionekana mahakamani kupitia njia ya video .kukiuka
features...upos=VERB
deprel=dep
lemma=kiuka
kanuni
features...upos=NOUN
lemma=kanuni
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Lakini Wanademokrat wanaodhibiti Bunge kwa wingi mdogo wana hakika watathibitisha ushindi wa Biden , wakati katika baraza la seneti walipo wachache pamoja na Warepublican walio wengi ambao baadhi yao wamekiri ushindi wa Biden , wana uwezekano wa kufanya vivyo hivyo kwenye baraza hilo .wanaodhibiti
features...upos=VERB
deprel=acl:relcl
lemma=dhibiti
bunge
features...upos=NOUN
lemma=bunge
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Katika kuzunguka Kaaba wako katika makundi ya watu 50 , kila mmoja akikaa mbali na mwenzie na wakiwa wameambatana na wataalam wa afya ambao wanaangalia mwenendo wao iwapo unafuata utaratibu wa afya uliowekwa .wanaangalia
features...upos=VERB
deprel=ccomp
lemma=angalia
mwenendo
features...upos=NOUN
lemma=mwenendo
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Maandamano kutoka kwa wafanyakazi wa serikali wakiwemo wale wanaofanya kwenye treni yamekuwa yakiendelea nchini humo kwa muda wa wiki kadhaa sasa .kutoka
features...upos=VERB
deprel=acl
lemma=toka
wafanyakazi
features...upos=NOUN
lemma=mfanyakazi
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Kundi la kikabila lenye silaha linalopinga utawala katika mji wa kaskazini magharibi unaochimba madini ya jade Jumamosi walishambulia kituo cha kijeshi huku matukio mengine yakiripotiwa katika sehemu nyingine za Myanmar , vyombo vya habari vilisema .unaochimba
features...upos=VERB
deprel=acl:relcl
lemma=chimba
madini
features...upos=NOUN
lemma=madini
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Serikali ya Uingereza imesema kwamba inapanga kuanza kutoa chanjo ya Pfizer - BioNTech kwa watu nchini humo kuanzia Jumatatu wiki ijayo .kuanzia
features...upos=VERB
deprel=acl
lemma=anzia
jumatatu
features...upos=NOUN
lemma=Jumatatu
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Wataalamu wanasema jeshi la Afghanistan , ambalo linatarajiwa kuwa na nguvu zaidi kuliko wapiganaji wa Taliban ambao wameongeza mashambulizi yao mnamo miezi ya hivi karibuni , limegubikwa na ulaji rushwa , ukosefu wa nidhamu na kushindwa kuchukua udhibiti wa taifa zima .wameongeza
features...upos=VERB
deprel=ccomp
lemma=ongeza
mashambulizi
features...upos=NOUN
lemma=shambulizi
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Dkt Medad Kalemani , Mbunge wa jimbo la Chato kupitia Chama Cha Mapinduzi , CCM , ambaye pia ni Waziri wa Nishati na watu wengine waliofika wilayani Chato na wenyeji wa wilaya hiyo wamezungumzia walivyoguswa na kifo cha rais huyo wa awamu ya tano .kupitia
features...upos=VERB
deprel=acl
lemma=pitia
Chama
features...upos=PROPN
lemma=Chama
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Wakati huo huo Gavana wa jimbo la Pennsylvania hapa Tom Wolf alisema Jumanne kuwa Joe Biden amethibitishwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais katika jimbo hilo .kuwa
features...upos=VERB
deprel=dep:comp
lemma=wa
mshindi
features...upos=NOUN
lemma=mshindi
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Kwa wiki kadhaa sasa tangu zoezi hilo kumalizika , Trump amekuwa akidai kuwa uchaguzi uliibwa , bila kuwa na ushahidi wowote , na iwapo Biden ataidhinishwa , basi Trump atakuwa rais wa tano katika historia ya Marekani ya miaka 245 kushindwa kuingia uongozini kwa muhula wa pili .atakuwa
features...upos=VERB
deprel=conj
lemma=wa
rais
features...upos=NOUN
lemma=rais
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Naishawishi kila jamii ya wahamiaji kujitokeza kutekeleza haki zao , kuanzia kukamilisha takwimu za sensa hadi kupiga kura iwapo wanastahili kufanya hivyo , Semedar amesema .kukamilisha
features...upos=VERB
deprel=dep:comp
lemma=kamilisha
takwimu
features...upos=NOUN
lemma=takwimu
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Chama hicho kiliundwa masaa machache baada ya Tshisekedi kutangaza kuvunja makubaliano kati yake na Kabila wiki iliyopita , akitaja tofauti ya kimaono namna ya kuendesha serikali .akitaja
features...upos=VERB
deprel=acl
lemma=taja
tofauti
features...upos=NOUN
lemma=tofauti
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Aliyekuwa kiongozi wa chama cha Forum for Democratic change , ambaye sasa ni kiongozi wa chama cha Alliance for National Transformation Major Gen . Mugisha Muntu , amezindua kampeni yake jijini Kampala , akisisitiza kwamba jiji hilo lina changamoto nyingi ikiwemo mfumo mbovu wa usafiri licha ya kuwa kitovu cha uchumi wa Uganda .ikiwemo
features...upos=VERB
deprel=acl
lemma=wa
mfumo
features...upos=NOUN
lemma=mfumo
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Hii ni mara ya pili kwa Sharif Hamad kuchukua wadhifa huo ambapo mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2010 hadi 2015 , wakati kulikuwa pia na utata mkubwa kwenye uchaguzi uliosababisha vifo na mamia ya watu kukimbia kutoka visiwani humo .kuchukua
features...upos=VERB
deprel=acl
lemma=chukua
wadhifa
features...upos=NOUN
lemma=wadhifa
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Kenya imeonekana kughadhabishwa na jumuiya ya kimataifa hasa kwa kutounga mkono juhudi zake za kuliorodhesha kundi la Al - Shabab kuwa haramu na Umoja wa Mataifa , kwa madai kuwa kufanya hivyo ni kudidimiza harakati za kuwafikia waathirika wa machafuko nchini Somalia .kuwafikia
features...upos=VERB
deprel=acl
lemma=fikia
waathirika
features...upos=NOUN
lemma=mwathirika
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Rais wa zamani wa Mali Amadou Toumani Toure ambaye alipongezwa sana kwa kufanya mageuzi ya kidemokrasia nchini mwake kabla ya kuondolewa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi mwaka wa 2012 , amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72 .amefariki
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_farik
dunia
features...upos=NOUN
lemma=dunia
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Lakini pale palipopatikana shinikizo , ilifikia hali ya kugeuka kuwa ni uvamizi wa Bunge la Marekani .palipopatikana
features...upos=VERB
deprel=acl:relcl
lemma=patikana
shinikizo
features...upos=NOUN
lemma=shinikizo
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Mpango wa Biden unajumuisha mzunguko mpya wa malipo ya moja kwa moja kwa kaya za Marekani , fedha za kuhamasisha shule kufunguliwa kwa usalama na kuongeza programu ya chanjo kitaifa .kuongeza
features...upos=VERB
deprel=conj
lemma=ongeza
programu
features...upos=NOUN
lemma=programu
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Pamoja na kura 55 za wajumbe kutoka California , kati ya za mwisho kupigwa Jumatatu , Biden ana kura 302 za uchaguzi , zaidi ya kiwango kinachohitajika kushinda urais .kushinda
features...upos=VERB
deprel=ccomp
lemma=shinda
urais
features...upos=NOUN
lemma=urais
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Janga la virusi vya Corona limeathiri kabisa sekta ya usafiri kimataifa , mashirika ya ndege ya Afrika yakitarajiwa kupata hasara ya dola bilioni 6 mwaka huu .yakitarajiwa
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_taraji
sekta
features...upos=NOUN
lemma=sekta
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Gavana wa jimbo la Kivu Kaskazini Jenerali Constant Ndima amesema wakati hayo yakijiri mjini Goma , matope ya moto ambayo yamekuwa yakiteremka katika mlima Nyiragongo na kuishia nje kidogo ya mji wa Goma .yakijiri
features...upos=VERB
deprel=aux
lemma=yakijiri
mjini
features...upos=NOUN
lemma=mjini
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Wakati huohuo , maafisa wa Lebanon wanasema wanatarajia idadi ya vifo kuongezeka wakati wanaendelea kufukua vifusi .kufukua
features...upos=VERB
deprel=ccomp
lemma=fukua
vifusi
features...upos=NOUN
lemma=kifusi
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Lakini wakati Kenya ilipopata uhuru wake kutoka kwa Uingereza mwaka 1963 , wengi walishindwa kutumia fursa ya muda wa miaka miwili kuwa raia , pamoja na watoto wao waliozaliwa nchini humo .kutumia
features...upos=VERB
deprel=dep:comp
lemma=tumia
fursa
features...upos=NOUN
lemma=fursa
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Sheria hiyo mpya inatoa dola elfu 1 na 400 kwa watu wazima wenye pato la chini ya dola elfu 80 kwa mwaka , imepunguzia mzigo wa kodi pia familia zenye pato la chini kwa kutoa dola elfu 3 kwa mtoto aliye na umri wa miaka 6 hadi 17 , na dola elfu 3 na 600 kwa watoto walio chini ya miaka 6 katika mwaka wa kodi wa 2021 .inatoa
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=toa
dola
features...upos=NOUN
lemma=dola
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Toure aliongoza mapinduzi ya kijeshi mwaka wa 1991 dhidi ya kiongozi wa kijeshi Moussa Traore baada ya maandamano dhidi ya serekali yaliogubikwa na ghasia .aliongoza
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_ongoz
mapinduzi
features...upos=NOUN
lemma=mapinduzi
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Eneo la Acholi lilikumbwa na vita vibaya vilivyoongozwa na waasi wa Lords resistance movement - LRA .vilivyoongozwa
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=_vyoongozwa
waasi
features...upos=NOUN
lemma=waasi
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Kwa sasa , inagharimu dola 3600 kusafirisha kasha la futi 40 kutoka bandari ya Mombasa , Kenya hadi Kampala kwa kutumia barabara .kusafirisha
features...upos=VERB
deprel=advcl
lemma=safirisha
kasha
features...upos=NOUN
lemma=kasha
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Miaka mitatu iliyopita , Ofisi ya Kitaifa ya Takwimu iliripoti kwamba mmoja kati ya wanawake na wasichana watatu wa Malawi kati ya miaka 15 hadi 49 anapata unyanyasaji wa kingono au kimwili .anapata
features...upos=VERB
deprel=ccomp
lemma=pata
unyanyasaji
features...upos=NOUN
lemma=unyanyasaji
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania , Dr . Philip Isdory Mpango amethibitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Makamu wa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya jina lake kuwasilishwa bungeni kwa mapendekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan .aliyekuwa
features...upos=VERB
deprel=csubj:agent
lemma=wa
waziri
features...upos=NOUN
lemma=waziri
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Serikali ya Tanzania inashughulikia mpango utakao iwezesha kutoza ushuru matumizi ya simu za WhatsApp ikiwa ni juhudi ya kukusanya kodi inayopoteza kutokana na kushuka kwa mapato yanayotokana na upigaji simu za kimataifa .inashughulikia
features...upos=VERB
deprel=root
lemma=shughulikia
mpango
features...upos=NOUN
lemma=mpango
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed , amekataa kile alichosema kama jamii ya kimataifa kuingilia kati mgogoro wa Tigray ambapo muda wa saa 72 aliotoa kwa vikosi vya Tigray kujisalimisha ulimalizika Jumanne usiku .kuingilia
features...upos=VERB
deprel=ccomp
lemma=ingilia
mgogoro
features...upos=NOUN
lemma=mgogoro
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Watu waliokuwa katika kundi lililovamia Bunge walisema walikuwa na haki ya kuandamana kupinga matokeo ya uchaguzi wa Marekani .lililovamia
features...upos=VERB
deprel=acl:relcl
lemma=vamia
bunge
features...upos=NOUN
lemma=bunge
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Mwakilishi , Mdemokrat kutoka jimbo la California , aliyesaidia kuandaa rasimu ya mashtaka dhidi ya Trump , alituma ujumbe wa Twitter Jumamosi mchana kuwa vifungu vya kumfungulia mashtaka Trump vimeungwa mkono na wawakilishi 180 , japokuwa hakuna Mrepublikan aliyeshiriki .kuandaa
features...upos=VERB
deprel=ccomp
lemma=andaa
rasimu
features...upos=NOUN
lemma=rasimu
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Moto mkubwa kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta karibu na mji mkuu wa Iran , Tehran ulikuwa unawaka kwa siku ya pili Alhamisi , wakati vikosi vya zimamoto vikiendelea kujitahidi kuuzima moto huo .kusafisha
features...upos=VERB
deprel=acl
lemma=safisha
mafuta
features...upos=NOUN
lemma=mafuta
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Wahamiaji , hususan wale waliopata uraia , wana majukumu , amesema Meron Semedar , ambaye ana umri wa miaka 34 kutoka Eritrea na sasa ni mshauri wa wanazuoni wa Afrika katika Chuo Kikuu cha California - Berkeley .waliopata
features...upos=VERB
deprel=acl:relcl
lemma=pata
uraia
features...upos=NOUN
lemma=uraia
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Wabunge wote wanaompinga Netanyahu wamekuwa katika majadiliano magumu kabla ya Jumatano siku ya mwisho kwa Lapid , mwenye umri wa miaka 57 anayekiongoza chama cha mrengo wa kati , Yesh Atid , kutangaza serikali yake wakati makubaliano ya kusitisha mapigano na Hamas yakiheshimiwa .kusitisha
features...upos=VERB
deprel=acl
lemma=sitisha
mapigano
features...upos=NOUN
lemma=pigano
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD