Example items (sample of 50)

sen_strAux_formAux_featuresobj_formobj_featurestreebank_link
Katika nchi yenye jumla ya wakazi milioni 41 , ni takriban watu 750,000 tu ambao wamepata chanjo ya COVID-19 .ni
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=ni
SubjAuxCount=1
chanjo
features...upos=NOUN
lemma=chanjo
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Maafisa serikalini na tume ya uchaguzi wamekuwa wakikanusha madai hayo .wamekuwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_kuw
SubjAuxCount=1
madai
features...upos=NOUN
lemma=madai
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Imesema kwamba uchumi wake umeanza kukua .imesema
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_sem
SubjAuxCount=1
kukua
features...upos=NOUN
lemma=-kua
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Matukio ya siku za hivi karibuni - kuanzia idadi ya vifo isiyo ya kawaida , matamshi ya baadhi ya viongozi wa kijamii , kidini , wapinzani wa kisiasa na simulizi za wananchi yameonyesha dalili kwamba ugonjwa huo upo nchini Tanzania na huenda unaenea kwa kasi kubwa .upo
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=wa
SubjAuxCount=1
Tanzania
features...upos=PROPN
lemma=Tanzania
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Biden ameongeza kusema kuwa Marekani itakabiliana na China kutokana na ukatili wa kiuchumi pamoja na kuchukua tena nafasi yake kwenye taasisi za kimataifa ambayo imepotea kwa muda mrefu .ameongeza
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_ongez
SubjAuxCount=2+
kuchukua
features...upos=NOUN
lemma=kuchukua
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Kama Mshona , mapato yake yalikuwa machache kwa sababu hakuweza kuyapitisha benki au kukopa , kama raia wa Kenya wanavyofanya .hakuweza
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=weza
SubjAuxCount=1
benki
features...upos=NOUN
lemma=benki
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Meli ambayo ilikuwa imeziba mfereji wa Suez kwa takriban wiki moja mwezi Machi inashikiliwa baharini wakati huu .ilikuwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=wa
SubjAuxCount=1
mfereji
features...upos=NOUN
lemma=mfereji
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Na hali hii inaweza kuwapatia nguvu wapiganaji wa Al Shabab , kuendelea na mashambulizi yao ya kuvuruga usalama wa taifa hilo .inaweza
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=weza
SubjAuxCount=1
nguvu
features...upos=NOUN
lemma=nguvu
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Kundi la wapiganaji la Boko Haram limeua watu 10 wakiwemo maafisa wanne wa usalama baada ya kushambulia vijiji vitatu kaskazini mwa Nigeria .limeua
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_ua
SubjAuxCount=1
watu
features...upos=NOUN
lemma=watu
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Misri ina hofu kwamba mradi huo wa dola bilioni 4 unaweza kusababisha hali ya kupungua kwa maji kwa ajili ya kilimo na matumizi ya kawaida nchini Misri huku Sudan ikiwa na hofu kuhusu usalama wa watu wake , kutokana na bwawa hilo .ina
features...upos=AUX
deprel=aux
SubjAuxCount=2+
hofu
features...upos=NOUN
lemma=hofu
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Nadhani hatushughulikii masuala halisi , kwa sababu ukiangalia ubakaji ni ipi hukumu ya juu ?ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
hukumu
features...upos=NOUN
lemma=hukumu
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Azma ya kuifanyia marekebisho katiba ya Kenya imekuwa ikiibua hisia mseto , baadhi ya wananchi wakiipinga kwa misingi kwamba nia yake kubwa ni kuongeza nyadhifa za uongozi kwa wachache na kwamba huu si wakati muafaka kwa sababu ya mazingira ya janga la Corona .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
nyadhifa
features...upos=NOUN
lemma=wadhifa
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Ripoti ya shirika la habari la AP inasema kuwa Umoja wa Ulaya umepanga kuiomba Washington kuhakikisha kuwa nchi za EU zinapata mamilioni ya dozi za chanjo za AstraZeneca ambazo bado wanazihitaji , pamoja na vitu vinavyohitajika katika kutengeneza chanjo .inasema
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_sem
SubjAuxCount=2+
kutengeneza
features...upos=NOUN
lemma=kutengeneza
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Mazungumzo ya karibu mwongo mmoja yamekosa kufikia makubaliano , namna Ethiopia inastahili kutumia maji ya mto huo huku ikijali maslahi ya Misri na Sudan .yamekosa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_kos
SubjAuxCount=2+
Ethiopia
features...upos=PROPN
lemma=Ethiopia
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Takwimu za idara ya polisi zinaonyesha miji 15 mikubwa ya Marekani , imeripoti kuongezeka kwa asilimia 169 kwa ghasia dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Asia .zinaonyesha
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_onyesh
SubjAuxCount=1
kuongezeka
features...upos=NOUN
lemma=kuongezeka
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Hata hivyo tuko tayari kushauriana na China iwapo hilo litatunufaisha .tuko
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=tuko
SubjAuxCount=1
tayari
features...upos=NOUN
lemma=tayari
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Ameongeza kusema kuwa Marekani itaongeza idadi ya wakimbizi wanaoruhusiwa kuingia hapa Marekani kwa zaidi ya mara nane ya pale utawala wa Trump ulipoachia .ameongeza
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_ongez
SubjAuxCount=2+
idadi
features...upos=NOUN
lemma=idadi
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Alisema makubaliano hayo yatasainiwa katika mkutano wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ( GCC ) huko Saudi Arabia Jumanne .yatasainiwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_sainiw
SubjAuxCount=1
mkutano
features...upos=NOUN
lemma=mkutano
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Mbidde , ambaye ni wakili na mwanasiasa maarufu katika jamii ya Baganda , amesema kwamba mwenyekiti wake amempa ruhusa ya kumfanyia Bobi Wine Kampeni .ni
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=ni
SubjAuxCount=2+
mwenyekiti
features...upos=NOUN
lemma=mwenyekiti
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Hofu ya kuhodhi chanjo imeanza kuibuka , kufuatia habari kwamba Italia imezuia shehena ya chanjo za AstraZeneca kwenda Australia .imeanza
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_anz
SubjAuxCount=1
shehena
features...upos=NOUN
lemma=shehena
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Palma ni takriban kilomita 10 ( maili sita ) kutoka mradi wa mabilioni ya dola wa gesi asilia ( LNG ) unaoendeshwa na kampuni ya Total ya Ufaransa na unaozihusisha kampuni nyingine za kimataifa .ni
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=ni
SubjAuxCount=1
kilomita
features...upos=NOUN
lemma=kilomita
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Misri na Sudan zina wasiwasi kwamba Ethiopia imekiuka makubaliano ya awali ya kutojaza bwawa hilo kabla ya kufanyika mazungumzo .zina
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_ina
SubjAuxCount=1
makubaliano
features...upos=NOUN
lemma=makubaliano
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Baadhi ya wanasiasa waliokuwa wanamuunga mkono rais Mstaafu wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila wameeleza kumuunga mkono rais wa sasa Felix Tshisekedi .waliokuwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=wa
SubjAuxCount=1
rais
features...upos=NOUN
lemma=rais
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Hata hivyo IGP amesema kwamba jeshi la polisi kwa sasa linawashikilia watu takribani 254 kati ya mahabusu mbalimbali nchini baada ya kudaiwa kujihusisha na vurugu za wakati wa Uchaguzi mkuu .amesema
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_sem
SubjAuxCount=1
watu
features...upos=NOUN
lemma=watu
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Anaeleza : Hali ya kiwango cha joto ulimwenguni katika mwezi Januari , Februari na Machi pia ilikuwa ya joto au mwaka wa pili wenye hali ya joto katika rekodi , kulingana na takwimu zilizopo za kimataifa . Hivyo basi hivi sasa tunaona ushawishi wa binadamu una nguvu sana kuhusu ya mabadiliko ya hali ya hewa .anaeleza
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_elez
SubjAuxCount=2+
ushawishi
features...upos=NOUN
lemma=ushawishi
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Kwa mujibu wa makubaliano ya ushirika , Bennet ambaye anaongoza chama cha Yamina , atashikilia madaraka mpaka September 2023 , wakati atakapokabidhi kwa Yair Lapid kiongozi wa Yesh Atid , kwa miaka mingine miwili .anaongoza
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_ongoz
SubjAuxCount=1
madaraka
features...upos=NOUN
lemma=madaraka
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Kwa hakika tunahitaji njia mbali mbali mbadala za mifumo inayotoa onyo la mapema dhidi ya majanga , dhidi ya mawimbi ya joto kwa sababu vitu hivi vyote vinashabihiana .tunahitaji
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_hitaj
SubjAuxCount=2+
mawimbi
features...upos=NOUN
lemma=mawimbi
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Naftali Bennet mzalendo wa mrengo wa kulia anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu katika makubaliano ya kushirikiana madaraka na kiongozi mwenye msimamo wa mrengo wa kati .kuwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=kuwa
SubjAuxCount=1
waziri
features...upos=NOUN
lemma=Waziri
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Mamlaka nchini Lebanon wanaamini tani 2,750 za kemikali aina ya ammonium nitrite iliyokuwa imehifadhiwa katika maghala kwa kipindi cha miaka sita iliyopita ndio iliyopelekea mlipuko huo wiki hii .ndio
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
mlipuko
features...upos=NOUN
lemma=mlipuko
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Rais wa Tanzania John Magufuli , anatarajia kushinda muhula wa pili madarakani katika uchaguzi unaofanyika leo Jumatano , huku makundi ya kutetea haki za binadamu yakimshutumu kwa kukandamiza wanasiasa wa upinzani .anatarajia
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_taraji
SubjAuxCount=2+
kukandamiza
features...upos=NOUN
lemma=kukandamiza
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Waisraeli wasiopungua 10 wameuawa katika mashambulizi ya roketi , pamoja na mtoto wa miaka 6 .wameuawa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_uaw
SubjAuxCount=1
mtoto
features...upos=NOUN
lemma=mtoto
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Eneo la uwanja wa ndege ni sehemu pekee tuliyohitaji kulidhibiti na tulifanya hivyo asubuhi ya leo .ni
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=ni
SubjAuxCount=1
kulidhibiti
features...upos=NOUN
lemma=_dhibiti
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Wanasema viwango vya joto na unyevunyevu vina madhara makubwa kwenye masuala muhimu ya kiuchumi na mifumo ya afya ya umma , ikielezewa kwamba shughuli nyingi ziko katika hali ya kuanguka kutokana na janga hili .wanasema
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_sem
SubjAuxCount=2+
shughuli
features...upos=NOUN
lemma=shughuli
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Majenerali hao ni aliyekuwa waziri wa usalama Henry Tumukunde na aliyekuwa kamanda wa jeshi Mugisha Muntu .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
waziri
features...upos=NOUN
lemma=waziri
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Kwa mara ya kwanza katika zama hizi za leo , katikati ya juhudi zinazoendelea kujikinga na maambukizi ya COVID-19 , Waislam nje ya Saudi Arabia hawakuweza kuhudhuria ibada ya Hijja .hawakuweza
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=weza
SubjAuxCount=1
ibada
features...upos=NOUN
lemma=ibada
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Imetayarishwa na Kennes Bwire , VOA , Washington D.C Afrika Kusini Ijumaa imechelewesha kuanza kwa mwaka mpya wa masomo kwa kipindi cha wiki 2 hadi Februari 15 , ili kuzizuia shule zisiwe vituo vya maambukizi ya Covid-19 .imetayarishwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=Imetayarishwa
SubjAuxCount=2+
vituo
features...upos=NOUN
lemma=vituo
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Biden pia amesema kuwa Marekani itasitisha uungaji mkono wa Saudi Arabia kwenye mapigano ya Yemen yaliyochukua muda mrefu akisema kuwa lazima yakomeshwe ili kufikisha kikomo mojawapo ya majanga makubwa zaidi ya kibinadamu ulimwenguni .amesema
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_sem
SubjAuxCount=2+
muda
features...upos=NOUN
lemma=muda
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Wanasayansi wa hali ya hewa wanatarajia kiwango cha juu cha joto katika muda wa miezi mitatu ijayo , licha ya kutokuwepo El-Nino , janga la asili ambalo hutokea na kuongeza kiwango cha joto ulimwenguni .wanatarajia
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_taraji
SubjAuxCount=1
kiwango
features...upos=NOUN
lemma=kiwango
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Karibu watu 153,000 wameomba chanjo tangu Jumapili wakati nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika ilipofungua usajili mtandaoni , baraza la mawaziri lilisema katika taarifa .wameomba
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_omb
SubjAuxCount=2+
taarifa
features...upos=NOUN
lemma=taarifa
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Mwenyekiti wa Kamati ya Rais ya Covid , Boss Mustapha amewahakikishia Wanigeria wanaotaka chanjo kuwa iko salama na lengo ni kulinda afya za wananchi .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
afya
features...upos=NOUN
lemma=afya
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imesema kuwa wanne kati ya waliouawa walikuwa wenye asili ya Korea .walikuwa
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=wa
SubjAuxCount=1
asili
features...upos=NOUN
lemma=asili
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Umoja wa Afrika ( AU ) Alhamisi umetoa wito hatua za haraka na za pamoja zichukuliwe kimataifa kufuatia mashambulio yanayofanywa na wapiganaji wa Kiislam waliouwa dazeni za watu na kusababisha maelfu ya wakazi kukimba kutoka mji wa Palma uliopo upande wa kaskazini ya pwani ya Msumbiji .umetoa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_to
SubjAuxCount=2+
mashambulio
features...upos=NOUN
lemma=mashambulio
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Katika tathmini mpya Jumanne kuhusu juhudi za chanjo nchini Marekani , mratibu wa majibu ya COVID-19 , Jeff Zients , alisema serikali kuu inatarajia kwamba asilimia 70 ya watu wenye miaka 27 na zaidi watakuwa wamepata angalau dozi moja ya chanjo ifikapo Julai nne , ambapo alielezea kama mafanikio makubwa .watakuwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=wa
SubjAuxCount=1
dozi
features...upos=NOUN
lemma=dozi
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Lakini anasema anakaribisha maoni kufuatia madai ya warepublican kuongeza masharti juu ya nani atapata fedha hizo .anasema
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_sem
SubjAuxCount=2+
fedha
features...upos=NOUN
lemma=fedha
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Wakati huo huo , Spika wa Baraza la Wawakilishi Nancy Pelosi alimwalika Biden kwenye chumba cha Bunge kuzungumza juu ya mtazamo wa kushughulikia changamoto na fursa za wakati huu wa kihistoria , katika hotuba ambayo inakuja wakati rais anatimiza siku 100 tangu aingie madarakani .alimwalika
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_mwalik
SubjAuxCount=2+
rais
features...upos=NOUN
lemma=rais
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Mchakato wa serikali kutaifisha shirika la KQ bado unajadiliwa bungeni .kutaifisha
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=kutaifisha
SubjAuxCount=1
shirika
features...upos=NOUN
lemma=shirika
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Azimio hilo linawaruhusu wabunge kumvua nafasi za kamati mbunge huyo wa muhula wa kwanza akiliwakilisha jimbo la kusini mashariki mwa Georgia .linawaruhusu
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_waruhus
SubjAuxCount=1
jimbo
features...upos=NOUN
lemma=jimbo
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Msemaji wa WMO , Claire Nullis anasema miaka yote hiyo hadi mwaka 2016 imekuwa na hali ya joto bila ya El-Nino , ikiwemo mwaka 2019 , ambao ulikuwa mwaka wa pili wenye hali ya joto sana katika rekodi .anasema
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=anasema
SubjAuxCount=2+
mwaka
features...upos=NOUN
lemma=mwaka
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Boss Mustapha aliwaambia Wanigeria ambao wana hamu ya kupatiwa chanjo kwamba chanjo hiyo ni salama na lengo ni kuwalinda raia dhidi ya janga la Covid .ni
features...upos=AUX
deprel=cop
lemma=ni
SubjAuxCount=1
raia
features...upos=NOUN
lemma=raia
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD
Wakati huohuo kumeripotiwa kesi mpya za maambukizi 2,000 kwa siku wiki iliyopita .kumeripotiwa
features...upos=AUX
deprel=aux
lemma=_ripotiw
SubjAuxCount=1
kesi
features...upos=NOUN
lemma=kesi
deprel=obj
UD_Swahili-AfriSUD