Example items (sample of 4)
| sen_str | Verb_form | Verb_features | iobj_form | iobj_features | treebank_link |
|---|---|---|---|---|---|
| Pence hakuwapa jibu lakini amewaambia wenzake hapendelei hatua hiyo kuchukuliwa . | amewaambia | features...upos=VERBdeprel=conj lemma=ambia | wenzake | features...upos=PRONlemma=enzake deprel=iobj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Watu wengi walisimama katika mistari mirefu kutoa heshima zao mbele ya jeneza lililokuwa limefunikwa kwa bendera , wakati muda wa kutoa heshima uliongezwa zaidi ili kuwawezesha wale wote waliotaka kutoa heshima zao kufanya hivyo . | kuwawezesha | features...upos=VERBdeprel=advcl lemma=wezesha | wale | features...upos=PRONlemma=wale deprel=iobj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Mungu hajakuumba wewe tu kwamba uwe kiongozi kila siku , tuwaachie wengine . | hajakuumba | features...upos=VERBdeprel=root lemma=umba | wewe | features...upos=PRONlemma=wewe deprel=iobj | UD_Swahili-AfriSUD |
| Lakini pia alisema alikuwa amesikitishwa na kitendo cha wachache kati ya waandamanaji Wazungu kukamatwa - angalau pale mwanzoni . | kukamatwa | features...upos=VERBdeprel=acl lemma=kamatwa | wachache | features...upos=PRONlemma=chache deprel=iobj | UD_Swahili-AfriSUD |